Kwa Wale Wapenzi Wa Movies: Ghost Rider 2 Spirit Of Vengeance Has Been Released

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,591
Baada ya msanii maarufu wa filamu duniani Nicolas Cage kutoa movie ya Ghost Rider One miaka kadhaa iliyopita sasa amerudi tena na muendelezo wa filamu ya Ghost Rider ambapo ametoa filamu ya pili ya Ghost Rider ambayo inaitwa Ghost Rider: Spirit Of Vengeance. Filamu hii amabyo imeandikwa na Scott M. Gimple pamoja na Seth Hoffman na kudairektiwa na Mark Neveldine na Brian Taylor imezinduliwa rasmi mnamo tarehe 17th February. 2012. Wahusika wakuu (starring/stars) katika filamu hiyo ni Nicolas Cage, Ciaran Hinds na Idris Elba.

 
Last edited by a moderator:
Pia nadhani movie hii ni movie ya action ambayo imefanya vizuri mwanzoni mwa mwaka huu
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom