Kwa wale wapenzi wa GAMES kwa PROXY USERS

Biohazard

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
2,197
1,459
Nimejaribu kukomaa nimepata hii hapa Site.

Index of /Aria/Games/PC/

Ni vizuri huitumie na US web proxy kama proxy server lakini ukitumia Proxy ya hii site ambayo ni 199.21.149.177:80 utakosa hilo folder la GAMES. Haya vijana komaeni.

Nilijaribu kudownload from this site lakini Kirusi kimenishinda Game zote ni Kirusi na kubadili nimeona inaboa tu on my side but u can enjoy.

Index of /USER/Games

Proxy 109.70.186.35
Port : 80

Kwa wale ambao hamfahamu ukitaka kuitumia hii site kama proxy unachofanya ni Kuset hiyo proxy kwenye Browser yako IDM pia unaweka hiyo proxy. Umemaliza yani hutaweza kubrowse site nyingine but unakuwa na una View files za hiyo site zote. Yani wamekuwekea Directory u just decide which downloads u want japokuwa ni ni wavivu wa ku update lakini sio ishu.
 
Mkuu Biohazard hizo proxy za US web broxy ni zipi? na je ina resume? games zake ni za kirusi pia?

Hiyo link ya pili nilikomaa nayo nikashusha game moja fasta na ina resume, lakini tatizo ni kama ulilosema lugha ni kirusi
 
Mkuu Biohazard hizo proxy za US web broxy ni zipi? na je ina resume? games zake ni za kirusi pia?

Hiyo link ya pili nilikomaa nayo nikashusha game moja fasta na ina resume, lakini tatizo ni kama ulilosema lugha ni kirusi

Mkuu US Web Proxy ni 176.49.231.146 port 80 halafu gonga 0.facebook.com then ww copy hiyo link ya games paste kama url then utanipa majibu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom