Habari zenu bhanah.. Ningependa kupata uchangaunuzi kuhusu suala la Medical Capitation fee(100000) ambalo lipo kwenye list ya Direct costs na suala la kujiunga na National Health insurance fund Tsh 50400/year ambayo imetangazwa na chuo cha Udom.. Kwa mimi hiv vitu viwili vinanichanganya xana, Je, kuna umuhimu gan wa kulipa Medcal captation fee endapo kama nitajiunga na NHIF? Msaada plz