Kwa wale wanaopenda "romance and lovie dovie"

Soulbrother

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
405
14
jana nilitumiwa link ya site moja inayoandikia watu mashairi (poems) na kuzidedicate kwa wapenzi wao online bure.

Nikaicheki sio mbaya, ingawa mashairi ni mistari minne tu and its in english.

Imenipa wazo la kumdedikatia ninayemadmire hapa JF shairi labda atajibu :)

site hiyo hapo!

http://rhymesandlines4u.wordpress.com/
 
Umeona kitu walichoniwekea cha bagamoyo na lovie dovie, mtoto alisoma akaniona juu kinoma...
 
Safi sana. ndo faida za JF kwa kweli ndoa zitaimalika sana. Ila tungalie sana kwani wife anaweza kushituka kwa sababu previously hukuwa na jumbe tamutamu hivyo anaweza kudhani umeopoa kimwana sasa unashift sms zake kwa wife wako
 
wakati mwingine mawife wana mambo, usipoonyesha mapenzi, humpendi, ukionyesha sana una kimwana pembeni... sijui tufanyeje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom