Kwa wale wanaopenda Emmanuel Tv na hamshiki kwneye antena za kawaida; solution hii hapa

networker

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
570
215
wako ndugu jamaa na marafiki wengi sana wanaopenda ku tazama kipindi channel ya emmanuel Tv kutoka nigeria(The synagouge church of all nations) lakini kutonana na antena zetu hatuwezi kuishika hii channel .below kuna link ya kudownload software ya easy Tv ukisha download install kwenye mashine yako.run hiyo program utaona option ya kuchagua nchi unayotaka kuona live streaming .chagua nigeria utaona hiyo Emmanuel tv select then enjoy the gospel .ziko nchi nyingi na chanel nyingi apart from hyio emmanuel. download link hiyo hapo
http://www.brothersoft.com/d.php?so...m/dvd_video/multimedia_player/anytv_setup.exe
 
thnks mkuu ila ata kwenye vingamuzi vya startims zinapatikana mkuu ukichakachua
 
Back
Top Bottom