kwa wale wanaonunua vitu ebay

NAPSTAR

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
767
12
natafuta mtu ambaye anauzoefu wa kununua vitu ebay....coz nahitaji aninunulie some things kama ypo anitaarifu basi ataninunulia hiyo product the ntamrudishia fedha zake alizotumia kuninunulia
 
tuma link ya item yako, kama kipo USA delivery after two weeks, the rest of the world may delay. Payment Mode COD,but if the value is too high, you have to pay the half of total value this service is available only for Dar Es Salaam region,and if you are in other regions of Tanzania,yet let me know before. @ Austin
 
i can depends on item value/price...my quotation as well depends! Post your link here,or private.
 
yap man mi mwenyewe nafuatilia vitu kwenye site kama amazon ,ebay na everbuying kwasabab nilikuwa nataka kufanya shipping ya vitu so kama unajua kuhusu masuala haya naomba unishtue
 
Back
Top Bottom