Kwa wale wanaojuwa vyakula unaweza kunitajia kimoja baada ya kimoja hivi vyakula?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,314
33,108
11075125_881282898582318_1577820771230781747_n.jpg
 
Attachments

  • vyakula.jpg
    vyakula.jpg
    129.4 KB · Views: 400
CC farkhina, MziziMkavu anataka kutupa njaa tu saa hizi.
1.Kababu
2.Kachori
3.Bajia za kunde
4.Mshakaki wa kwio :lol::lol:
5.Chipsi za muhogo
6.Urojo
7.Urojo mix(Wa vikorombwezo nilivyotaja)
8.Pilipili
9.Chatne
10.Hio katikati sijui milk shake au ice cream inaonekana tamtam lkn ungeweka juisi ya miwa :eyebrows::eyebrows:
 
Last edited by a moderator:

Finish
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu, hiyo misosi imekaa kiponjoroponjoro sisi wa huku midizini tutajuaje majina yake?
Ungeleta dizaini za huku midizini ningeelewa lakini hizo chori patni unanionea!
 
Tunatiana njaa tu

gorgeousmimi

Ma-Bestz, hiyo yote yaitwa Evening bytes!

Duh!! Njaa inauma

MziziMkavu, hiyo misosi imekaa kiponjoroponjoro sisi wa huku midizini tutajuaje majina yake?
Ungeleta dizaini za huku midizini ningeelewa lakini hizo chori patni unanionea!

Hadi njaa imeniuma jamani

MziziMkavu, hiyo misosi imekaa kiponjoroponjoro sisi wa huku midizini tutajuaje majina yake?
Ungeleta dizaini za huku midizini ningeelewa lakini hizo chori patni unanionea!

Nimeona viazi nyama tu!

Mii kwangu ugali na dagaa2 misosi hiyo mi sishibi

Mshanitamanisha napika urojo this weekend karibuni wote...

Toba roho yangu na kitumbo changu cha utamanifu
MziziMkavu anything happen, utajibu kesi

10446554_10205310364657718_7686779588595517895_n.jpg
 
Attachments

  • msosi.jpg
    msosi.jpg
    131.3 KB · Views: 154
Back
Top Bottom