Kwa wale wanaojuwa matunda, Je hili tunda linaitwaje? Na Faida zake ni zipi?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,082
Tunda gani hili?

mtopetope.jpg
 
Mzizi bana.......lete tunda gumu......tulidadavue........kama hili......
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    34.3 KB · Views: 1,178
Mbona kama umedanganya...mbegu zina nyama nyeupe af hizo nyama ndo zinaliwa??
Labda nimeshindwa kutoa maelezo, ni hivi:-

Baada ya kumumunya/kumung'unya nyama nyeupe zinabaki mbegu ambazo rangi yake kama mende au sijui niseme ndio nyeusu.

Mbegu ni hatua ya mwisho(ndogo ndogo zinateleza) ambazo unatema baada ya kumaliza utamu(nyama)
 
Okey hapo sawa...mpaka mate yamendindoka lol
 
Back
Top Bottom