Kwa wale wanaojiunga 1st year wazingatie haya

thkz;;;bro;;;eebwana uturehemu;;;;;;;;;;;
daa it real pain unamaliza chuo na magonjwa;;;;hey tujipange;;;;;;;na to control hisia zetu;;;;;;;;;;;;;;;by being busy and concentrate in stding hard;;;;;:A S embarassed:
 
hapa ni muhimu kutazama haya yafuatayo,maadili ya mtu binafasi,hulka ya mtu na kuiga vitu visivyo na umuhimu wowote.
 
Ebwana broo ahsante sana kwa ushaur wako mzur! I think kwa wote first year 2liosoma huu ujumbe 2taufanyia kazi....
 
Asante kaka Mungu akubariki tunaitaji watu kama nyie humu jukwaani.
 
Pia kumbuka wewe ni graduate pale utakapomaliza mwaka wa mwisho na kufaulu,kinyume na hapo wewe ni form six leaver tu,na kama hutafaulu final year utaendelea kuwa form six leaver
 
Back
Top Bottom