Kwa wale wanaoami kwenye elimu ya unajimu,nyota zimebadilika

Mpogoro

JF-Expert Member
Dec 7, 2008
386
58
A lot of buzz on Facebook and Twitter yesterday over an article that suggested the calendar has been switched meaning your zodiac sign may have changed.

The apparent new changes started in Minneapolis, when the Minneapolis Star Tribute published an article stating our horoscopes are all wrong. According to the article if you thought you were a Scorpio you are really a Libra or if you thought you were a Pisces you are actually an Aquarius and so forth.

The reason for the change? The aritcle says it is because the stars have shifted since the creation of the zodiac 2,000 years ago. The article also included a 13th zodiac sign, Ophiuchus which has always been a constellation, but never considered a zodiac sign.
Many don't know that there are two zodiacs the: Sideral and the Tropical Zodiac. The Sideral is followed traditionally in the Eastern Hemisphere while the Tropical is followed in the Western Hemisphere.

Either way, scientists and astronomers ared debunking this and say your sign is still the same sign.According to the Minnesota Planetarium Society, here is where the real signs of the Zodiac should fall. Get ready for your world to change forever.

Capricorn: Jan. 20-Feb. 16.
Aquarius: Feb. 16-March 11.
Pisces: March 11-April 18.
Aries: April 18-May 13.
Taurus: May 13-June 21.
Gemini: June 21-July 20.
Cancer: July 20-Aug. 10.
Leo: Aug. 10-Sept. 16.
Virgo: Sept. 16-Oct. 30.
Libra: Oct. 30-Nov. 23.
Scorpio: Nov. 23-29.
Ophiuchus: Nov. 29-Dec. 17. (Yep, this one is new - read all about the Ophiuchus way of life here)
Sagittarius: Dec. 17-Jan. 20.
 
Mkuu Mpogoro
mimi ni miongoni wa wasomaji wa Zodiac sign japo sii muumini saana wa mambo haya, kitu cha muhimu sio umezaliwa lini au chini ya sign gani, kwa mfano mimi sign yangu ni Aries, nimeisoma na nikathibitisha ninaendana na tabia zake, hata leo ikinionyesha nimegeuka piscess siwezi kujigeuza wakati sign its abouit traits.

Kwa wasio fahamu kuhusu Zodiac signs, haya sio mambo ya Sheikh Yahya, ni madhara ya nguvu ya uvutano kati ya jua, mwezi, nyota na sayari saa unapovuta pumzi yako ya kwanza baada ya kuzaliwa kutegemeana na eneo ulipozaliwa.

Nguvu hizi za uvutano, ndizo zinadetermine tabia zako za jumla ambazo ziko nje ya uwezo wako. Mathalan kuna mtu anaogopa sana jongoo, mende, panya au nyoka mpaka anaweza kuzimia. Nguvu hizi ni za kweli, na uthibitisho wake mkubwa ni maji kujaa na kupwaa, hivyo sio nguvu za kufikirika. Pia ndizo zina determine menstrual circle za wanawake na ndizo resiponsible kwa moods!, wenye vichaa na wazimu wa mwezi mchanga.

Kwa mfano Scorpions wote ndio wanaaongoza kwa powers of love, lakini pia ndio wanaoongoza kwa wivu. Pisces wanawake ndio wanaoongoza kwa kuwa na roho nzuri, hivyo wengi wao huishia kuwa wa mama huruma. Leo ndio wanaaongoza kwa kimbelembele kama simba na huishia kuwa mabishololo, Aries (na mimi nikiwemo) tunatawala head, hatuogopi, tunajiamini kupita kiasi, lakini pia hatujatulia!, etc etc.

Ukishathibitisha tabia zipi ni nzuri kwa sign yako, you keep them na ukishaujua udhaifu wa sign yako, you turn it into strengths!

Kwa wapenzi wa mambo haya, tafutane vitabu vya Linda Goodmans, Sun Signs, Star Signs na Love Signs.
P
 
Ahsante mwana jamvi kutuwekea humu hili suala la kitaalam.
Nyota hazijabadilika ila wameongeza nyota(zodiac).
Japo huyu mtaalam wa Astronomy Parke Kunkle ameeleza mengi kua ni mambo yalishabadilika tangu miaka elf 3 iliopita lakini ilikua haijawekwa.
Katika elim hizi mabadiliko mengi hutokea lakini nawashauri muendelee kusoma matukio yenu na kuzifahamu Traits zenu kwenye ile ile taratibu mliozoea.
12 Zodiac Signs.
 
Back
Top Bottom