NGOGO CHINAVACH
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 943
- 368
jana gazeti la mwananchi 21/09/2011 lilitoa tangazo kutoka bodi ya mikopo kwamba kuna vyuo havijapeleka matokeo na maendeleo ya wanafunzi hivyo basi wanafunzi wake watachelewa kupata mkapa na kutaka vyuo vigharamie cost zote kipindi ambacho mkopo utachelewa, vyuo hivyo vikimetajwa kwneye hilo gazeti.