Kwa wale waliopata kazi ya sensa malipo ni.......

kikaragosi

Senior Member
Nov 14, 2010
112
10
mimi ni mmoja wapo kati ya niliyopata kazi ya sensa tumeambiwa tutalipewa elfu35 kwa siku na 250000 kazi ya sensa pamoja na nauli elfu35 kwa wenye dodoso ndefu kwa fupi cjajua.
NAWASILISHA WADAU pia nashukuru sana kwakuwa nlijua hyo kazi humu pamoja na ikupata le form yao ya kujaza
 
Huku tumekatwa tsh 5000 kwa kila siku ya semina,kwa chai na chakula,fedha ya chakula haijatumwa toka taifa!huko vipi?
 
Huku tumekatwa tsh 5000 kwa kila siku ya semina,kwa chai na chakula,fedha ya chakula haijatumwa toka taifa!huko vipi?

kwa waliofunga ramadhani imekuaje ama km mtu hutaki kula wala kunywa chai ikoje hapo
 
Sisi bado hatujalipwa,wanasema hela bado,halafu kwenye msosi hapo jamaa anasisitiza walete msosi wakati makarani hatutaki.
 
mimi ni mmoja wapo kati ya niliyopata kazi ya sensa tumeambiwa tutalipewa elfu35 kwa siku na 250000 kazi ya sensa pamoja na nauli elfu35 kwa wenye dodoso ndefu kwa fupi cjajua.
NAWASILISHA WADAU pia nashukuru sana kwakuwa nlijua hyo kazi humu pamoja na ikupata le form yao ya kujaza

kweli hiyo kazi utaiweza?mbona kama vile hujielewi...huko kwenye rangi za hatari unamaanisha nini?
hongera lakini
 
Waislamu hawapo kwenye shughuli zozote znazohusu SENSA,kwani umesahau mambo ya ponda? Thats why they put flat rate in lunch and breakfast to all makarani
 
Serikali itegemee data za kugushi maana Walimu ndio walikua waaminifu sana! mi vijana nawajua sana atapewa nyumba kumi atatembelea tatu nyingine zote anapika.
 
Serikali itegemee data za kugushi maana Walimu ndio walikua waaminifu sana! mi vijana nawajua sana atapewa nyumba kumi atatembelea tatu nyingine zote anapika.
inaonekana wewe ulikuwa mwalimu uliyekosa. Naomba tu walimu wakafundishe watoto wetu kwa uaminifu ili hili anguko la elimu Tanzania lipungue.
 
Hivi inakuwaje watu wanataka kula hela kiraisi,yaani kwa siku mnakatwa elfu tano kwa chakula gani,bora ujifanye unafunga ni utapeli maana swala la chakula c lazima :yawn:
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom