- Thread starter
- #21
Vijana..kumbukeni mmezaliwa kwenye nchi masikini.
Mkopo ni kama favour tu mnayopewa na serikali, siyo kitu cha lazima! Kwahiyo ridhikeni kwa kile kidogo mnachokipata
kidogo kip tulichopata?
Vijana..kumbukeni mmezaliwa kwenye nchi masikini.
Mkopo ni kama favour tu mnayopewa na serikali, siyo kitu cha lazima! Kwahiyo ridhikeni kwa kile kidogo mnachokipata
hivi nyie mliokosa mkopo si mliambiwa msiripoti vyuoni mpaka hapo wizara itakapoto tamko? sasa haraka ya nini? kuweni na subira madogo
Vijana..kumbukeni mmezaliwa kwenye nchi masikini.
Mkopo ni kama favour tu mnayopewa na serikali, siyo kitu cha lazima! Kwahiyo ridhikeni kwa kile kidogo mnachokipata
Ndugu yangu unawadanganya bure, wakiandamana 2tawapiga virungu na washawasha. Jaribu muhone.Hivi nyie mnadhani hawa viongozi wetu bila kufanya nguvu za ziada wataelewa!, Mimi sio mwanafunzi.., Ila ushauri wangu ni kama mnaweza fanyeni mipango ya maandamano ya Amani kuwafikishia ujumbe..., maana tunajua kabisa wapo ambao hawakustahili kupata hiyo mikopo na wamepata.., na wale ambao wanastahili hawakupata. Ila ukweli ni kwamba Kila mwanafunzi anastahili kupata huo mkopo as long amefaulu vizuri na kupata chuo na ni mtanzania.
Vijana ingieni barabarani tutawasupport.
madogo wana hamu ya kuingia versity ili watambe. Kumbuka kuna kudisco na kusupp ukiwa luxirious.hivi nyie mliokosa mkopo si mliambiwa msiripoti vyuoni mpaka hapo wizara itakapoto tamko? sasa haraka ya nini? kuweni na subira madogo
Njoo hapa chuo upate "mordality" na usijali muda si mrefu mnapata mkopo wenu,maana hii nchi bila kushinikizwa hamna linalowezekana
unafaa kuzikwa bila jeneza!!!!vijana..kumbukeni mmezaliwa kwenye nchi masikini.
Mkopo ni kama favour tu mnayopewa na serikali, siyo kitu cha lazima! Kwahiyo ridhikeni kwa kile kidogo mnachokipata