Kwa wale wajasiriamali na wafanyabiashara

Pelham 1

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
548
99
TANGAZA MARKETING SOLUTIONS;
Ni Kampuni inayojihusisha na Advertising,Marketing & Promotions
Lengo kuu nikusaidia Wajasiriamali na Wafanyabiashara kuweza kujua Wateja wao na Wateja kujua bidhaa ama huduma walizonazo ili kuwafikia kiurahisi pindi wanapohitaji.
Pia tunasaidia wale waliobusy kuwafungulia Biashara[Kampuni] kutokana na aina ya biashara Mteja anayotaka[hitaji]kufungua
Kama ni Biashara ya mtu mmoja[Individual]Watu wawili na kuendelea[Partinership] na Limited Company. Kwa mda wa siku 4 mpaka wiki 1 unakabidhiwa usajili wa biashara yako ukiwa umekamilika,Nikimaanisha unakabidhiwa mkononi Jina la biashara,Tin namba na Leseni vikiwa vimekamika.
Kwa Usajili wa NGOs wiki 2 Saccos wiki 1
Ni maamuzi yako pindi usajili unapokuwa umekamilika kama utahitaji kuletewa sehemu ulipo ama kutumiwa popote utakapokuwa.
Kwani kwetu mteja ni Mfalme
Office Sinza Africasana,Off Shekilango road
Mawasiliano; 0714-074040,0767-074040,0785-074040,0713-705360
Email:tangaza04@gmail.com
aba.pelham@yahoo.com
Smwadini@yahoo.com
"Karibuni"
 
Back
Top Bottom