Kwa wale wa udsm, kufanya maandamano marufuku!!

Arnold Ndosi

Member
Aug 14, 2012
65
3
Kama Wanadodoso Wnzangu Wa Jf Nimedodosa Kuhusu Swala La Maandamano Na Migomo Udsm Na Wahtmu Fulani Wakaniambia


"maandamano Na Migomo Udsm Imezmishwa Na Utawala Toka Miezi Ya Mwanzon mwa Mwaka Huu Pale Ambapo Kuliibuka Vjana Machachari Sana Walio Leta Gumzo na kuchochea vurugu na maandamano yaliolenga Kudai Nyongeza Ya Posho Kufikia Elfu 10 Kwa Kutwa,Mfn.ALSHA BAB &ALSHA AUNT.kimsing chuo kiliwapa adhabu kali iliyo wakata kilimilimi wana udsm kwa 7bu waliwafukuza chuo wao wote na wafuasi wao Huku Wakiwa Hawaruhusiwi Kujiunga Tena Na Chuo Chochote Nchn Na Wengene Wakalala Rumande Kwa Siku Kadhaa".Eti,wanatushauri sisi tunaojiunga na udsm mwaka huu 2sijipendekeze kuendesha maandamano au kijipitsha kimbelembele hasa pale 'level square'.Lakini mzngatie kwamba sikuulizia kwa malengo yeyote Mabaya Bali Ni Stori Za Hapa Na Pale Zilileta Mada Hyo Na Hvyo Nikaanza Kuwadodosa Kiundani.mnasemaje Mazee? Eti,kufukuzwa Kwao Chuo Kutafanya Wa2 Wngne Washndwe Kudai Maslah Yao?
 
Na hvi nilivo na hamu na maandamano,sidhan kama wataniacha asee!
 
acheni utoto hata ukipewa laki kwa siku si utarudisha tu then prospectus hairuhusu maandamano mtatimuliwa na mob yenu isambae fanya kilichokuleta chuo kama unajiona unajua kutetea haki sana kuna vyama vingi vya siasa ingia humo nina experience na iyo kitu ndio maana nawaeleza kama huamini kuna kujuta jaribu tu utajionea mwenyewe na hakuna atakae kuwa upande wako ndugu yangu
 
Nitagoma kwajambo muhm lkn kwa vi2 visivyo namsing sitogoma kamwe.je unataka 10000 ili ununue nin?labda 2tadai hyo pesa endapo vyakula na malaz yakipanda bei.
 
Back
Top Bottom