Kwa wale wa udom mwenye kujua hili naomba msaada

dantes steven

Member
Aug 25, 2012
11
1
Naomba mnisaidie nimejaribu kuwapigia cm zao za mezani hawapokei kwenye website yao wamesema mwisho kulipa ada na michango ni tarehe 30 nikilipa kwa sasa watanigomea
 
Naomba mnisaidie nimejaribu kuwapigia cm zao za mezani hawapokei kwenye website yao wamesema mwisho kulipa ada na michango ni tarehe 30 nikilipa kwa sasa watanigomea

Post ya mwanzo katika jukwaa la elimu hayo maswali yako yamejibiwa. Fuatilia hiyo post imeandikwa Ushauri wa bure kwa wa UDOM
 
Bwanakaka mbona mi sijalipa,ilo nailipa tar 9 coz nipo nairobi na nisingewezalipa labda kwa western union,mi nafikiri hawaez kataa hata kama umechelewesha,mrad uwe na pay in slip
 
Kaka we kalipe tu coz hata mwenyewe nmelipa jana na wamepokea, by the way kwene joining instruction hakuna condition kama iyo na by the way what is the difference aliyelipa before 30 na aliyelipa after 30 wote wanafungua on the same day, cha muhimu uwe na payng slp.
 
jamani naombeni mnisaidie kwa hili : nlikua nmechaguliwa tumaini dar(law) bt nkaomba transfer tcu nikawa nmehamishiwa UDOM(law) lakini tatizo ni kwamba nnapojaribu kudownload form zao inaandkia "password and user name dont match or you dont hav an account yet".. sio kwamba nakosea taratibu NO nmefata kla hatua waliyoieleza lakini bado inanisumbua ni wiki ya 2 sasa na chuo ndo hivyo knafungua.. msaada Wadau kwa yeyote anayefahamu hii kitu
 
mkuu usipondeke moyo, wengi tu wana tatizo kama lako especially waliochaguliwa second selection wakijarb kudownlod form zao zinagoma, bt chuo wamesema kama una tatizo kama hilo jitahidi uwahi ciku ya kufungua chuo ili tatizo lako lishughulikiwe. Kama vipi n PM nikpe maelekezo ya kwenye joining instruction.
 
Back
Top Bottom