Huwa Sua hawatumi joining Instruction. Ila pitia web yao wametoa maelezo fresh. Kama kuna tatizo we ni Pm, nimemaliza sua, so nakifahamu fresh.
Wacha porojo!! hakuna information wanayoiulizia hawa vijana ambayo utaipata katika maeneo ya web ya SUA uliyoya quote wewe. Kupitia SUA isiwe ni warrant ya kuwadanganya watu au kuwa take for a ride.