kwa wale wa marekani na uingereza

Mtimti

JF-Expert Member
Feb 23, 2008
942
644
Heshima yenu wanajamii,naomba kwa wale wenye kufahamu website nzuri za kufanya manunuzi ya nguo na raba mtandaoni{online shopping},nimejaribu baadhi ya site za marekani hawauzi nje ya marekani,hivyo kwa anaejua naomba anisaidie
shukrani sana
 
nnayo account ebay,lkn ningependa kupata website tofauti tofauti..aksante
 
Back
Top Bottom