Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,701
He he he heeee!!!hii ndio a aaa
iko kama kata aaaa
hii ndio e eee
ina mkia mfupi eee
hii ndio i iii
ina kofia juu iii
hii ndio o ooo
iko kama yai ooo
hii ndio u uuu
iko kama kikombe uuu
He he he heeee!!!hii ndio a aaa
iko kama kata aaaa
hii ndio e eee
ina mkia mfupi eee
hii ndio i iii
ina kofia juu iii
hii ndio o ooo
iko kama yai ooo
hii ndio u uuu
iko kama kikombe uuu
Manenge na mandawa!
Tumbo shiba nimbakishie manenge menyu!
Nondo mla watu? Siyo Nunda mla watu?
Mpiga Filimbi wa Hamelini
Hahahahahahahah lolnyimbo kitabu cha kiswhili darasa la 4:- alikuja baba mmoja kutoka safari ya mbali kavimba yote mapaja