kwa wale wa longtime

mnakumbuka,wale wajinga watatu waliokuwa vitani wakajificha vizuri,mara adui anapita akamkanyaga mmoja,"mbona unawakanyaga wenzio kama majani?"akamdunga mkuki,wa pili"sasa na wewe kwa nini unasema?"adui akampachikia mkuki nae,wa tatu"heri mimi sijasema"adui akammaliza na yeye,wote wakaisha!it was funny,na kulikuwa na mafundisho pia!
 
hii ndio a aaa
iko kama kata aaaa

hii ndio e eee
ina mkia mfupi eee

hii ndio i iii
ina kofia juu iii

hii ndio o ooo
iko kama yai ooo

hii ndio u uuu
iko kama kikombe uuu
 
hii je?"kofia huuzwa dukani mwa daudi sent mia"
 
omari hodari
Yoho yoho
Katoka safari
Yoho yohoo
Katika safari
kashinda hatari
Kampiga kimamba
Katika miamba
Yoho yohoooo
Mama yake kimamba
Madonda karamba
Yoho yohooo
 
omari hodari
Yoho yoho
Katoka safari
Yoho yohoo
Katika safari
kashinda hatari
Kampiga kimamba
Katika miamba
Yoho yohoooo
Mama yake kimamba
Madonda karamba
Yoho yohooo

Mkuu ni Makari siyo Omari
 
lindu amuokoa kapilima
ufupi si ugonjwa(andunje)
safariyenye mkosi
siku kuu ya sabasaba
 
Paulo usije kucheza na sisi,
una mikono michaafu,
tutachafuka hata kunuka,
una mikono michaafu!
 
Lindu amuokoa kapilima

mnazikumbuka hizi titles?
Jogoo aliyesema,
brown ashika tama,
sikukuu ya sabasaba,
sadiki na sikiri,
kibanga ampiga mkoloni,
nondo mla watu
..............................
..............................
..........................
.......:...........................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom