Kwa wale wa jeshi tu

Simbamteme

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
784
2,063
jamani kwa wale wenzangu na mimi mnaosubiria ajira za jeshi,nimepigiwa simu niende makao makuu ya wizara ya ulinzi kuwa nimechaguliwa kujiunga na jeshi kambi ya kigoma na niandikapo thread hii najaza fomu yao...kiufupi nlifanyiwa mchongo manake bila m2 Tz hii kazi bure...nawasilisha tu jamani sina uhakika kama post zimeshatoka tayari..kwa anaetaka maelezo zaidi pls ni PM
 
Jipange upya kaka hakuna kambi ya mafunzo ya recruit ya JWTZ KIGOMA recruit hupitia MAKUTUPORA na DSM kwa PROFESIONAL ukiniambia umepata nafasi ya JKT ntakuelewa haijawahitokea wa2 kuandikishwa na kupangiwa kikosi direct usiwarushe roho wenzako
 
Kweli kabisa mkuu. Kama dogo alitoa mlungula ndo kishaula wa chuya tena.
 
Unetoa Rushwa sio?Tutakushughulikia..Maana Hata Interview hujafanya wewe..Kwa Lugha rahisi hujapimwa,Ukimwi,Kam Ni Rijalii,Au kama sio Ridhiki,Matege,Presha,Kisukali,Kuona Vizuri,Mishipa za Chini ya Paja n.k...we ngoja utaona...
 
Ingekuwa kweli uandikayo basi TZ yetu ikuwa safi,hii ni sawasawa na Fisi kumtishia Simba
 
Hivi kumbe kupata kazi jeshi nayo inataka kuhonga? Namshukuru Mungu sijawahi kumuhonga mtu anipe kazi...asiyenitaka achape lapa sina habari naye.
 
Jamani hii habari ni kweli kabsa japo kuwa deadline ilikuwa juzi lakni bado wanapokea barua...source: mm ,macho yng na maskio yangu yameshuhudia,juz waliitwa watu 50.
 
unazungumzia JWTZ au JKT?

nilikuwa Makao makuu Upanga leo na mm nmeskia kuanzia mwaka huu mnapitia J.k.t hata kwa professionals coz hata J.k.t nao wanawahtaj pia,bt mm haikujalisha ni Jw au jkt but nahtaj jesh tu,so kwa meng zao we attend kesho then utajioneo,ok?
 
Jipange upya kaka hakuna kambi ya mafunzo ya recruit ya JWTZ KIGOMA recruit hupitia MAKUTUPORA na DSM kwa PROFESIONAL ukiniambia umepata nafasi ya JKT ntakuelewa haijawahitokea wa2 kuandikishwa na kupangiwa kikosi direct usiwarushe roho wenzako

nn watu ndo wameenda wapo kama 700 kweataarifa yenu na mi kuna mshikaji namfahamu ameenda hii ndo TANGAN oooo sory tz bana
 
nn watu ndo wameenda wapo kama 700 kweataarifa yenu na mi kuna mshikaji namfahamu ameenda hii ndo TANGAN oooo sory tz bana

sawa mpalu kuna tofauti kubwa kati ya JKT na JWTZ hivyo ni vizuri uwe specific unazungumzia nn
 
Na kama unahonga kuingia JKT wewe ni mbumbumbu na nakuahidi utakuja kuwa auxilliary mjinga
 
Back
Top Bottom