Kwa wale mnaotaka kuolewa na mzungu kuachana kazi

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
From my experience wanaume wakizungu wagumu kuwaelewa na wako very insecure,obsessed na wanaogopa wanaume wa kiafrika wazungu wanaamini mwafrika wana Dudu kubwa basi inakuwa wivu kilio.anakupenda atakupa kila kitu ila ukisema nyoo unaondoka ujue drama la apo.kuolewa na mzungu ni too much obsession and mapenzi ya kutojimini.muwe waangalifu kutoka kazi
 
Ignorance is a terrible disease to have.
 
Hivi unaolewa uachike??
Yaani wewe unawasisitiza as if ni lazima kuachika..
Why this should not be an advantage rather being a problem?
 
Makaratasi.

Hivi kuna mtu anatumia ID yako? kuna siku ulikuja na swali humu ukapozi kama wewe ni mdhungu
 
Shughuli! Kwa hiyo unatushauri tusiolewe na wadhungu? Afu una experience? Ina maana ulishawahi kuolewa na wadhungu wangapi?
 
Wote, watish, wasudi, watailiano, spaniads, americans, canadians, mexicans, belgians, wafaransa you name them!
 
kumbe siku hizi watu wanaolewa ili waachike...mmmh okay, I thought marriages are made in heaven
 
From my experience wanaume wakizungu wagumu kuwaelewa na wako very insecure,obsessed na wanaogopa wanaume wa kiafrika wazungu wanaamini mwafrika wana Dudu kubwa basi inakuwa wivu kilio.anakupenda atakupa kila kitu ila ukisema nyoo unaondoka ujue drama la apo.kuolewa na mzungu ni too much obsession and mapenzi ya kutojimini.muwe waangalifu kutoka kazi
to be honest siwapendi wazungu na uwa nawashangaa wadada wanaokuwa na relationship na wazungu

from my research ndogo kuhusu wanaume wa kizungu, wadada wengi huniambia uwa hawapelekwi mpera mpera kama tunavyowafanyaga, pia wadada huniambia wana tumashine tudogo na sio imara mishedede yetu kifupi pumzi hawana..

cha ajabu wadada kibao wanashobokea wazungu, sasa sijui uwa wanataka experience au njaa zinawasumbua?
 
Ndiyo huyo mzungu anayejua kuwa unamwanaume mwingine lakini anasema usimuache atakununulia gari? Maana nimeona post yako moja umeiweka jamvini leo ukisema hivyo!
 
to be honest siwapendi wazungu na uwa nawashangaa wadada wanaokuwa na relationship na wazungu

from my research ndogo kuhusu wanaume wa kizungu, wadada wengi huniambia uwa hawapelekwi mpera mpera kama tunavyowafanyaga, pia wadada huniambia wana tumashine tudogo na sio imara mishedede yetu kifupi pumzi hawana..

cha ajabu wadada kibao wanashobokea wazungu, sasa sijui uwa wanataka experience au njaa zinawasumbua?

wewe hujui wanawapa 0713.......
 
mtoa mada hueleweki ni wewe mmoja unayekutwa na kasheshe zote hizi au unakusanya na za mtaani kwenu?
 
Natalia,uliwahi kuwa miss tz 1st runner nyuma ya nancy sumari,uko marekani umeolewa na mdhungu!!!okay,asante kwa kushare na cc xperience yako

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom