Kwa wale mashabiki wa TV Series........

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Kwa wale mashabiki wa series hasa zile zilizopata umaarufu sana kama 24 ambapo kuna mtu anaitwa Jack Bauer, yuko kwenye tv series nyingine inaitwa The Confession ambayo imekaa ki Jack kweli tofauti na ile nyingine inayoendelea ya Touch.

Kwa wale wapenzi wa series mnaweza anza kuishisha sasa
 
..mambo vipi mkuu..hiyo ninayo..jack bauer na dingi yake...kitu cha Dakika 5 tu...hahahahaha..
 
Back
Top Bottom