Kwa wale Madikiteta mkae mkao wakuondoka

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,596
Nidhahiri kwamba nguvu ya umma ndiyo njia pekee ya kuwang'oa madikiteta wa demokrasia kwani imeonekana hakuna uchaguzi unaokuwa wa huru,hivyo mageusi ya siasa za afrika nimaandamano bila hivyo kila siku madikiteta wataendelea kujisifu kwakusena nimeshinda kwa ushindi wakishindo wakati niwezi na wanasaidiwa na dola zote!Njia pekee ya kuwatoa ni Nguvu ya Umma.
 
Contradictions.
 
Back
Top Bottom