Kwa wale ambao majina yao hayakupelekwa vyuoni, na pole kwa Agribusness SUA

Ze Blessed

Senior Member
Aug 12, 2012
123
13
Wanajamvi, mimi nilikua ni miongoni mwa wale wanafunzi ambao majina yetu hayakupelekwa vyuoni, lakini leo nilibahatika kwenda sua na kuulizia inakuaje kuhusiana na hili? Ndipo nilipopewa karatasi yenye majina hayo na kwa bahati nzuri nimeliona la kwangu na form ya kujiunga na chuo nikapewa. Inawezekana na vyuo vingine ikawa hivyo jaribuni kufuatilia. Agribusness wanadai majina wameyarudisha tena tcu ila sikutaka kuuliza kwanini kwasababu facult hainihusu ila kuna jamaa yangu ndo ameelekea huko, naamini atakuja na taarifa kuhusu hilo na nitawajurisha.
 
Xaxa wamexema wana upload lin hayo majna coz cc wengne 2po mbal xo inaeza kua inshu kufka huko.
 
Xaxa wamexema wana upload lin hayo majna coz cc wengne 2po mbal xo inaeza kua inshu kufka huko.

Tcu kama tcu sijajua wata-apload lini majina ila nahisi kwenye baadhi ya vyuo watayapeleka, na kama umepangiwa sua nahisi kuanzia kesho yatakua tayari sababu niliacha wanajiandaa kuyaweka mtandaoni, ucjali ndugu yangu mambo yatakua safi tu.
 
Thx much mkuu,sababu nilikuwa sina muelekeo coz niliomba second round hapo SUA na nikawa addmitted bt ckuona updates zozote kwenye website ya sua nikahic tcu wameniridhisha 2
 
Thx much mkuu,sababu nilikuwa sina muelekeo coz niliomba second round hapo SUA na nikawa addmitted bt ckuona updates zozote kwenye website ya sua nikahic tcu wameniridhisha 2

ucjal ndugu kama upo karibu nenda pale admstration ghorofa number 2 room na. 212 watakupa maelezo na kama uko mbali unaweza mtuma mtu wa karibu haisumbui. Mungu akusaidie sana ndugu.
 
Mi nipo admted sua agrbsnes ila ndo jina halipo chuoni kwa mwenye updt anisaidie

kaka agribusness inaonekana waliochaguliwa wamezid admission capacity kwa hyo wameyarudisha tcu majina yote ili kuangalia ustarabu mwngne, na cna uhakika kama ni majina yote yamerudishwa ila inasemekana yamerudi. Cha msingi fuatilia tcu kwenyewe uone itakuaje.
 
Back
Top Bottom