kwa wale ambao hawajayaona majina yao sta-shahada na shahada.

LOOOK

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,389
672
Kuna baadhi ya walimu wa stashahada na shahada ambao hawajayaona majina yao kwenye orodha iliyo tangazwa jana mnatakiw kusubiri awamu ya pili ya ajira ambayo itatoka mwezi may baada ya taarifa za hawa walio pangwa sasa kutumwa wiarani.
 
Back
Top Bottom