Kwa wale ambao bado mko njiani, mimi nimesharipoti chuo cha... Na ili usajiliwe wanataka vitu vif...

MTEMISHIJA

Member
Feb 11, 2014
21
0
Habari zenu WAKUU, nimeona vema tushirikishane katika hili kwa sababu kuna jamaa zangu kadhaa tumekuwa tukiwasiliana ili kuulizana na kujuzana ni yapi yanaweza kuwa ni mahitaji ya msingi ili uweze kudahiliwa bila ya kupata usumbufu na changamoto nyingine nyingi ambazo zinaweza kujitokeza pindi utakapokuwa umewasili chuo ulicho chaguliwa na kugundua kuwa ungeyajua kabla hujaripoti chuoni ungejiandaa kwa ufanisi zaidi.
Ndugu, kwa wale waliokwisha ripoti vyuo mbalimbali nchini, tafadhali fungukeni kuhusu vitu vinavyotiliwa mkazo sana iuwe navyo ili usajiliwe. Kuna mambo mengi mfano.....
1. ada (kwa ulinganifu na kile BODI ilichokudhamini or PRIVATE),
2. VYETI (original na slip za matokeo).
3. Accomodation payments, availability, and situation zilivyo,
4. Form za Kujazwa hospitali (PHISICAL & LAB. FITNESS TESTS),
5. Na mengineyo.

Natoa hoja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom