kwa walala hoi tu!?

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Petrol bado bei juu, umeme hali kadhalika, kodi ya nyumba balaa, mchele na nyama ndo usiseme, starehe nazo bei juu yaani bia, wine, soda na juice bei juu. eti kilimo kwanza wakati malori marufuku kubeba mazao ya walala hoi, Dini sadaka nazo juu hawataki salafu wanataka noti tu, Mahari nazo hatari unapigiwa hesabu kuanzia mimba hadi shule. Chadema wakiomba mkutano mpaka damu imwagike, hivi CCM itatuhujumu mpaka lini? rate ya dola nayo haisemeki. ada ya shule ipo juu utadhani unanunua shule! sasa hii ndo maisha bora kwa kila Mtanzania...
 
Back
Top Bottom