Kwa wakubwa tu!!!kupika sio lazima uvae apron!!!!

Dinnah, msome tena jamaa utamwelewa anaongelea apron ipi na mapishi yapi!
PS: Kama ulipata D ama F ya kiswahili o-level, do not try to re-read the thread, utaingia chaka zaidi!lol

Aksante Mentor huyu dinnah anampango wa kuamsha watoto
 
Hahaha...MZEE MWANAKIJIJI Remixxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx...
I agree wit u mkubwa. Mapishi si lazima Apron.
Halafu labda niongezee,
Mapishi sio lazima kufuata COOKBOOK, hata hao wa cookbooks walijariujaribu ndo wakapata hizo recipe!lol
I love ur thinking n presentation.

mmmhhh Apron muhimu sana mkuu
No Apron No cooking...
 
Ezan ,wala sio weakness, huyu jamaa ni kama amekosea kupost, topic hii ya mapishi ina nafasi yake sio hapa. Mimi nilifikiri kuna fumbo fulani. Eti kwa wakubwa????
It looks like ur under 18's na kiswahili cha kukariri, maana walioambiwa wakubwa wameelewa na kufurahia ujmbe go back to school and dont jump to something that is not ur level
 
Hahaha, mambo ya mapishi na kubadili aina ya upishi...wakati mwingine si lazima mshirikiane kupika, unaweza kumsusia mwenzio apike tu..kama dada yetu yule aliye rudi hivi karibuni toka jumba la kaka mkuu wa afrika alivyomsusia jamaa apike tuu..yeye akawa kama hataki kula..lol
 
Ha ha haa shejele mkuu umeniacha hoi,dada yetu BOKHE aliamua kumenyea viazi swiming pool.
 
Hahaha, mambo ya mapishi na kubadili aina ya upishi...wakati mwingine si lazima mshirikiane kupika, unaweza kumsusia mwenzio apike tu..kama dada yetu yule aliye rudi hivi karibuni toka jumba la kaka mkuu wa afrika alivyomsusia jamaa apike tuu..yeye akawa kama hataki kula..lol

Ni kweli kiongozi, nani alikwambia pishi la mchele huwa linanoga likiwekewa tui la nazi tu,
hebu jaribu alizeti uone inakuwaje.....................

Na si lazima hata kuchemsha maji ya kutengeneza kahawa eti,
mpaka uende jikoni jamani hata varandani tu inatosha................
 
mda wowote unaotaka kupika hata kama ni katikati ya bahari kinachotakiwa ni mwiko na chungu tu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom