kwa wakatoliki:Kumcha mwenyezi mungu ni chanzo cha maarifa!

Status
Not open for further replies.
Waache pombe,sanamu na dhambi nyingine zote waokoke na kubatizwa. Ili wawe watakatifu kabla hawajafa zaburi 16: kwani baada ya kufa hukumu waebrania 9:27
 
Why not????? Hakuna anayekupangia jinsi ya kumuabudu Mungu wako.

Upo mwongozo wa Jinsi ya Kumwabudu Mungu,unaelezwa kwenye Biblia,eg Biblia inatuelekeza kwamba MUNGU HUABUDIWA KATIKA ROHO NA KWELI!!
Tatizo la Madhehebu Mengi likiwemo Katoliki ni kwamba watu wanatumia UTASHI wao zaidi kupanga namna ya kumwabudu Mungu na kuendesha kanisa Kuliko kutumia Biblia!!
Msingi wa Hulka hii ni kutaka kurahisisha mambo kwa maslahi ya Shetani either wakilijua hilo ama wakiongozwa na UJINGA!!
 
Martin Luther ambaye ni Baba Yenu alipewa upadrisho namna hiyo.

Mbinguni wazee wanaanguka kifudifudi kumwabudu Mungu.

Ibada za Makanisa ya Sasa hazina hata Mwongozo. Altareni mnacheza Mziki.

Hamjui nini maana ya Ubani wakati Nyumba ya Mungu lazima iwe na Ubani. Mungu ndo amesema hvyo.

HAMJUI JINSI YA KUMWABUDU MUNGU. Someni Ufunuo Mwone Jinsi gani Mungu anavyoabudiwa

Hakuna Aya hata Moja inayoelezea Jinsi Mnavyorukaruka nyie.
 
Hii staili ya kuomba wakiwa hivi wakatoliki wameanza lini? Au mkuu umechanganya madesa..
Kuna ibada, hasa za kijiweka wakfu mbele ya mwenyezi mungu, watumishi wa kanisa wanalala kifudifudi wakiomba kama picha hiyo inavyoonekana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom