kwa wakatoliki:Kumcha mwenyezi mungu ni chanzo cha maarifa!

Status
Not open for further replies.
Hii staili ya kuomba wakiwa hivi wakatoliki wameanza lini? Au mkuu umechanganya madesa..
 
Hawataki waonekane wamesujudu kama wafanyavyo waislaam ingawa maandiko yanawataka wafanye hivyo.
 
Hii staili ya kuomba wakiwa hivi wakatoliki wameanza lini? Au mkuu umechanganya madesa..

Hapana mkuu................ni wakatoliki original hawa hapana wa "kichina"!soma habari kamili hapo chini

Women To Be Ordained Priests In The Catholic Church

<center>
</center>
In the Liturgy of ordination Priestly candidate prostrate to show total obedience and surrender to God.The litany of all saints is chanted to envoke their prayers.

The Catholic Church is going to do what have never been for about two millenia now,promoting women faithfull to sacred orders.Against the perenial teaching of the Tradition,Pope Benedict has ruled out that now be accepted with humility the act to venerate femininity of our humanity giving women a sacred role denied them untill now by human pride.In the ordinary audience the pope makes every friday with Cardinal William Levada,prefect of the powerfull congregation "Propaganda Fide" the Pope has insisted that God can not all the time deny women of this joy of celebrating Christ mystery and serve humanity as priests.
To this end the Pope have called upon the extraodinary Synod at the Vatican where the Bishops will have time to meditate upon this vocation of women.Speculations have begun in the Church circles on the reasons of this break from traditions and the idea it seem will be rejected by the majority of bishops.If that happens,the Church will be at a difficult time that the Apostles become agaist their head who has supreme authority over the Church.But one of the reliable sources in the Roman Curia has noted that if the Bishops rejects as is anticipated then the pope can not act Cum Solus (alone) against collegiality.In any of the case let us be patient to see how feminism can shift the conservative German Shepherd.
Soure: The Lancert
 
Inanikumbusha askari wa Nairobi alipomkamata Muislaam kachutama anakojoa kichochoroni:

Askari: "wewe inafanya nini pare"
Muislaam: "nakojowa"
Askari: "hii miisiramu ikikonjowaga inakaa chini, jee ikinya? si itarara kabisa!".
 
wapendwa,

hapo mashemasi wanapewa daraja takatifu la upadre! tukio lililo katika formalities za ibada za upadrisho na sio lazima iwe ndio "ucha Mungu". ucha Mungu uko moyoni mwa mtu na sio kwenye kanzu nyeupe na kulala kifudifudi kwenye zuria linalometameta mbele ya maaskofu! hiyo ni ishara ya unyenyekevu na inakuwa na maana zaidi kama unyenyekevu huo uko mioyoni mwao, na sio hapo mbele ya kamera pekee.

mbarikiwe sana wapendwa,

Glory to God!
 
Kazi kweli kweli.
 
It's absolutely unculture and unacceptable to embrace the political feminist propaganda in to the very sacred matters to such extent.

May his almighty God act on this matter which ignores the holy scripture and pollute the teachings of the Holy Bible

Ave Mary,in God we trust!!
 
wapendwa,

hapo mashemasi wanapewa daraja takatifu la upadre! tukio lililo katika formalities za ibada za upadrisho na sio lazima iwe ndio "ucha Mungu". ucha Mungu uko moyoni mwa mtu na sio kwenye kanzu nyeupe na kulala kifudifudi kwenye zuria linalometameta mbele ya maaskofu! hiyo ni ishara ya unyenyekevu na inakuwa na maana zaidi kama unyenyekevu huo uko mioyoni mwao, na sio hapo mbele ya kamera pekee.

mbarikiwe sana wapendwa,

Glory to God!
Hapo wanakua wanamnyeneykea nani hasa mungu na huyo jamaa mbele mwenye kikofia chekundu?kama jibu ni mungu basi huo ni ucha mungu...!
 
Ina maana hata kadinali pengo alipitia hatua hii ya kugala gala chini?
 
wapendwa,

hapo mashemasi wanapewa daraja takatifu la upadre! tukio lililo katika formalities za ibada za upadrisho na sio lazima iwe ndio "ucha Mungu". ucha Mungu uko moyoni mwa mtu na sio kwenye kanzu nyeupe na kulala kifudifudi kwenye zuria linalometameta mbele ya maaskofu! hiyo ni ishara ya unyenyekevu na inakuwa na maana zaidi kama unyenyekevu huo uko mioyoni mwao, na sio hapo mbele ya kamera pekee.

mbarikiwe sana wapendwa,

Glory to God!

Wakatoliki bana. Makubwa!!!
 
hapa mkuu watu wanapewa daraja takatifu la upadre, kama hujaitwa kuwa padre inasemakana huinuki hapo
 
Hapo Rejeo sio wanaomba

Wanapewa Daraja fulani ( Upadri au u askofu)

Desa Lipo Sawa
 
Na maranyingi hapo wakifanya mchezo katika imani wengine hufariki hapo hapo..na hua hawalali usingizi..ni mwendo wa sala tu..noumerr
Wizi mtupu,mbona wengine tunasikia wana watoto na wengine wanajihusisha na biashara za mihadarati huku wengine wakitupika kama dekio la kuwasafisha mafisadi kwa malipo maalum
 
Wizi mtupu,mbona wengine tunasikia wana watoto na wengine wanajihusisha na biashara za mihadarati huku wengine wakitupika kama dekio la kuwasafisha mafisadi kwa malipo maalum

Ntolee uharisho wako hapa..lini na wapi umeskia padri wa kanisa katoliki kakamatwa "redihendedi" na madawa kama sio hao maaskofu wenu wa makanisa ya kisasa..acha kubwata kama umebanwa na NNYA..mtu mzima hovyo..too bad umeniharibia siku yangu..Mpssxxyy
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom