Kwa wajasiriamali

Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
298
Salamu sana.

Tunatoa huduma zifuatazo kwa gharama nzuri.
  1. Ushauri wa biashara
  2. Uandikaji wa mpango wa biashara
  3. Uandaji wa katiba kwa mashirika yasiyo ya serikali (NGOs)
  4. Mafunzo ya ujasiriamali
  5. Mafunzo ya huduma kwa wateja (customer care)
  6. Networking
  7. Mengine mengi.

Mahali: Moshi mjini
Mawasiliano
e- mail : taseatanzania@yahoo.com
USITAFUTE AJIRA TENGENEZA AJIRA
 
Mkuu very well, Vipi ni kampuni au, Mkuu kuna Tatizo kubwa sana kwa Watanzania kwa wakati huu ila ipo siku inakuja, Ni watanzania wachache sana kati ya wafanya biashara wengi sana nchi hii wanao weza enda kutafuta ushauri wa jinsi ya kuboresha biashara zao,

Mimi niliwahi kufanya hii kazi Arusha, na kuna Mzee mmoja ni jok naye kuhusu kumshauri jinsi ya kuimarisha Restarunrant yake alicho ni jibu ni kwamba anapata wateja wa kutosha na anapata pesa za kutosha hivyo hahitaji ushauri,

Ni kweli kwa Wafanya biashara wengi wanaamini ushauri ni kwa wale walio kwama tu, tena nao wakikwama huenda kuwauliza ndugu zao au marafiki zao,

Ila kampuni kubwa kama TBL pamoja na kuwa kiongozi wa kulipa Kodi Tanzania na kutengeneza profiti kubwa still wana washauri wao wakuwashauri maswala mbali mbali yanayo husu Masoko, uzalishaji, na kazalika

WABONGO NA WANATAKA HIZI HUDUMA WAPATE FREE KABISA, WAKATI KUMUONA DR MWENYEWE NI PESA, so kwa Tanzania consultance bado ni Tatizo sana kwa sababu ya uelewa, mtu anaweza kukubipu halafu umpigie na kumshauri kana kwamba hii huduma ni ya serikali,

Ila ni PM nikueleze mbinu mbadala za kuweza kufanya
 
Ahsante Mkuu.
Ni shirika lisilo la kiserikali. awali niliwaza kuanzisha kampuni lakini nikagundua ni vema kuanza na shirika lisilo la kiserikali ili kuweza kuhamasisha watanzania kuhusu ujasiriamali. Shirika limelenga kuwahamasisha vijana kuanzia miaka 18 katika shule na vyuo kujishughulisha na maswala ya ujasiriamali ikiwa ni pamoja na kufuatilia mafunzo. Usajili tumepata mwaka jana.

Waanzilishi ni vijana wasomi ambao wanabiashara zao binafsi lengo ikiwa ni kuwa role model;

Changamoto kubwa ni kwamba wengi wanaridhika na kile wanachokifahamu hawako tayari kuongeza ufahamu zaidi.

Kuna kipindi tulikuwa tunaoffer mafunzo lakini washiriki walikuwa wachache sana. Sasa kidogo naona watu wanaanza kuamka.
 
Nawapongeza kwa kazi njema mliyoanzisha; kweli elimu na dhana nzima ya ujasiriamali inabidi kujengwa kwa vijana wetu vinginevyo hali baadae inaweza kuwa mbaya kwana wataendelea kutegemea biashara za uchuuzi.
 
3 au 5 ni masaa? siku? miezi? mna matarajio gani kusambaza hiyo huduma kwa mikoa mikubwa km dar,aru,mby,
,mwz nk?
kila la heri

Sorry mkuu.

Mafunzo ni kati ya siku 3 na siku 5:

wastani wa saa 5 kwa siku. Tuna mpango wa kuanzisha ofisi zetu mikoani. Kwa Dar tuna shirika tunashirikiana nalo.

Lengo ni kuwapa hamasa watanzania kuhusu ujasiriamali, hasa vijana. Watu wabadilishe namna ya kufikiri, tengeneza ajira usitafute ajira.

Karibu sana. taseatanzania@yahoo.com
 
Mkuu tuwekee na namba zenu za simu vilevile mngeweka wazi kuwa Moshi mjini na Dar ofisi zenu zipo wapi.
 
Mkuu tuwekee na namba zenu za simu vilevile mngeweka wazi kuwa Moshi mjini na Dar ofisi zenu zipo mtaa gani na katika jengo gani.
 
Back
Top Bottom