Kwa wajasiriamali wafugaji wa kuku Dar

damcon

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
214
72
heshima kwenu ndugu zangu wajasiriamali wenzangu,nimetuma hii post kuwasaidia kuepukana na wezi wa kuku ambao wameibuka hapa mjini.

Hawa jamaa wanatabia ya kufuatilia wafugaji na mara nyingi hawakatai Bei ukiwaambia 5000,mara nyingi wanatumia pick up na hupenda kuchukua kuku zaidi ya mia na kuahidi kurudi kesho yake.mtu asiyeamini inabidi uamini kwa sababu ni kitu kimemtokea mke wangu ambaye anafuga.siri kubwa ya hawa wezi ni mazingaumbwe katika kuhesabu ambapo anakupumbaza kwa madawa.
kuweni makini mke wangu kalizwa zaidi ya kuku 200 ambapo wamemlipa na aliwahesabia kuku 70 tu na wakamlipa hao 70.walipoondoka ndo akastukia banda lake limepungua kuku 200.
kuweni makini ndugu zangu ni jambo lililitokea last two days
 
ni kweli hao wezi wapo sana mie walilipa 20 tu wamekuja na pickup sikuwepo binti kurudi kucheck kuku 150 hamna!
nilichofanya nikumfundusha kuomba wakati anauza, pia usiruhusu mtu bandani waishie mlangoni,
 
Jamani maombi ni muhimu katika
bisahara hebu tujitahidi kumshirikisha Mungu naamini siku wakikutana na moto wa maombi lazima wanase tu.
 
poleni sana damcon & Mama Joe, kwakweli inasikitisha sana ukizingatia ugumu wa kumtunza kifaranga mpaka kufikia hatua ya kumuza. Asanteni kwa taarifa
 
heshima kwenu ndugu zangu wajasiriamali wenzangu,nimetuma hii post kuwasaidia kuepukana na wezi wa kuku ambao wameibuka hapa mjini.

Hawa jamaa wanatabia ya kufuatilia wafugaji na mara nyingi hawakatai Bei ukiwaambia 5000,mara nyingi wanatumia pick up na hupenda kuchukua kuku zaidi ya mia na kuahidi kurudi kesho yake.mtu asiyeamini inabidi uamini kwa sababu ni kitu kimemtokea mke wangu ambaye anafuga.siri kubwa ya hawa wezi ni mazingaumbwe katika kuhesabu ambapo anakupumbaza kwa madawa.
kuweni makini mke wangu kalizwa zaidi ya kuku 200 ambapo wamemlipa na aliwahesabia kuku 70 tu na wakamlipa hao 70.walipoondoka ndo akastukia banda lake limepungua kuku 200.
kuweni makini ndugu zangu ni jambo lililitokea last two days

Wapemba ndo zao hao kuna jamaa mmoja barabara ya sayansi ndo zake hizo analipia anauza chips kuku 50 anabeba mia3
 
Jamani huo sio uchawi ni wizi tu wa kawaida. Wao ni wataalam wa kuficha vichwa vya kuku na kwa kuwa hujifanya kuchagua haraka hakara huwa wanabeba kuku 6 badala ya wa5 kwa kila mkono mmoja wanaokuonesha uhesabu.

Walimfanyia hivyo dada yangu naye akaamini ni uchawi, lkn siku walipokuja tena niliwabaini namna wanavyomzuga kule bandani. Mimi nikawaacha wakaanza mpaka wakamaliza walipotaka kupakia kwenye pick-up yao nikawaambia nimeghairi kwa hiyo tuanze kuwahesabu kurudi bandani, loh! Ulikuwa mzozo mpaka majirani wakajaa nyumbani.

Baada ya kuwaeleza nini kinaendelea wakashinikiza kuku wahesabiwe, loh, walishampiga kuku 50 katika 200 waliolipia. Nikawaambia biashara imekwisha na nilichowafanyia ni kukata hela ya kuku 70 waliowaiba wiki iliyopita na kuwapa chenji yao. Wakataka kuanza mzozo mpya lakini majirani waka-suggest kuwa wezi ni wezi tu kwa hiyo hakuna haja ya kukiuka taratibu zetu za mtaa na ukizingatia matairi wamekuja nayo wenyewe na pick-up.

Katika hali ya kushangaza jirani yangu mmoja ambaye ni mchaga mwenzao aliwasihi majirani wengine kuwa badala ya kufanya kazi ya hasara na dhambi kwa nini tusibargain nao. Mwisho wa mchezo ilibidi waache laki moja na nusu za bia kunywewa na majirani ili waondoke na roho zao.

Nendeni mkawaulize pale shekilango kiliwakuta nini KAJIMA, hawana hamu na mtaa wetu wale wachaga wezi sana pambaf zao.

USHAURI WANGU: Adhabu ya kutoa hela haijawauma sana kwa hiyo mtu mwingine akiwafuma asiwatoe mchuzi, waliwe tiGO ndio watashika adabu.
 
nashukuru kwa taarifa sisi tumeibiwa kuku 248 juzi tu na ndo mara ya kwana kufanya mauzo, tulikuwa bado tunajiuliza ni nani aliyetuibia kuku wetu na kwa namna gani pasipi kupata jibu, sasa nimepata jibu kwani watu hawa walikuja na kununua kuku miatatu hivi.....aahsanteni kwa taarifa hizi hapa JF
 
ni kweli hao wezi wapo sana mie walilipa 20 tu wamekuja na pickup sikuwepo binti kurudi kucheck kuku 150 hamna!
nilichofanya nikumfundusha kuomba wakati anauza, pia usiruhusu mtu bandani waishie mlangoni,

Aisee, pole sana! Ni bora kuwa na wateja unaowafahamu.
 
Back
Top Bottom