Kwa wajasiriamali nafasi ndio hili sasa

chaggaa boy

Member
Jul 19, 2016
6
7
Kwa mahitaj ya mayai ya kanga yenye uhakika wakutoa vifaranga wasiliana nani nisipokua hewani waweza ni sms wasap kupitia 0717 209059 ila elimu ya ufugaj ni bure
KARIBU SANA NAFAS NDIO HII
 
Kwa mahitaj ya mayai ya kanga yenye uhakika wakutoa vifaranga wasiliana nani nisipokua hewani waweza ni sms wasap kupitia 0717 209059 ila elimu ya ufugaj ni bure
KARIBU SANA NAFAS NDIO HII
mkuu ungesema na bei halafu upo wap?, vifaranga vp unavyo
 
nihivi nipo mkoa wa SIMIYI wilaya ya MASWA kwa sasa vifaranga wa kanga sijaanza kwakua nina oda nyingi za vifaranga wa kuku huku namashine ni ndogo ndio nimeagiz kubwa
 
Back
Top Bottom