Kwa waendesha pikipiki Dar: Kuweni makini na majanga kama haya!

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=RI26FY_SRfY"]YouTube- Ajali haina kinga.wmv[/ame]
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=eW3jbpYaA48"]YouTube- Helmet can save your life - Dont overtake if the road is NOT clear.wmv[/ame]
 
Du mzinga kweli kweli; nilipita pale Magomeni polisi hivi karibuni nilitamani ningekuwa na kamera nipige picha mabaki ya pikipiki yaliyokuwa yameletwa wakati huona pita; Yalikuwa yametapakaa damu utadhani ndio mtu alikuwa anaipakaa kama rangi! Nilijisikia vibaya sana nikijaribu ku imagine mwendesha piki pikia ana hali gani huko aliko!
 
Aisee inatisha! sasa nani wa kulaumiwa hapo? Madereva au serikali?
 
inatia huruma!

Aisee inatisha! sasa nani wa kulaumiwa hapo? Madereva au serikali?
hapo ni wote!
 
Back
Top Bottom