Kwa wadau wa kitimoto tu!

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
i1107_14764105084942836963100000063738114132258391521n.jpg

Je, baada ya miaka kadhaa 'evolution' ikiteki plesi si mambo kama haya yanaweza kutokea?
 
no more kiti moto as frm this moment....no matter hw delicious ur...its over hun!
 
Nadhani sijaona vizuri. Ngoja ni log out and then I will check it tomorrow. Yawezekana hii picha ikawa imebadilika
 
Nadhani sijaona vizuri. Ngoja ni log out and then I will check it tomorrow. Yawezekana hii picha ikawa imebadilika

evolution inaendelea, sasa kesho utachokikuta sijui kitafananaje? kesho huu uzi sifungui...naweza kujikuta vegeterian bureee
 
Mzungu mmoja aliyekerwa na tabia ya wazungu wenzake wabaguzi wanaowaita waafrika nyani alisema hivi, nanukuu "Wewe akikuita nyani na wewe mwite nguruwe", mwisho wa kunukuu.
 
Mzungu mmoja aliyekerwa na tabia ya wazungu wenzake wabaguzi wanaowaita waafrika nyani alisema hivi, nanukuu "Wewe akikuita nyani na wewe mwite nguruwe", mwisho wa kunukuu.
asante huh, kweli 'pig'
 
mpaka hiyo evolution ya nguruwe kufikia hiyo stage tutakuwa hatupo kwenye hii dunia, hivyo cha muhimu ni kuchapa mdudu tu
 
1292363666_746f2523c1.jpg

Ebwana eh wakati tuna subiria hayo yatokee wadau nawa karibisha mjumuike na mimi. Maana msosi mzito huu siwezi kumaliza yote. "Waiter, lete kishushio basi!"
 
Back
Top Bottom