Kwa wadada wenzangu: tuwe makini na aina hii ya wanaume.......

michele kudanganywa kupo,tukiwajia kitakatifu mnatudharau na isitoshe umejiuliza ww kwanini ukafanyiwa hivo labda ww ndio chanzo pia.
 
Ni vizuri kupeana ujuzi kwenye haya mambo,but cha msingi ni Kumshirikisha Mungu pia.Unaweza ukayajua yooote hayo still ukawa traped.Pia utusaidieupande mwingine wa shilingi kujua huyu ndiye.
 
michele kudanganywa kupo,tukiwajia kitakatifu mnatudharau na isitoshe umejiuliza ww kwanini ukafanyiwa hivo labda ww ndio chanzo pia.

ukija ukisema nia yako unadharauliwa?? sema mnatofautiana malengo kwa hiyo anakataa au kukuacha si kwamba anakudharau.....

wanaume waache uongo....mi nitakuwaje chanzo,nilimtuma aje kunidanganya au nimeomba kudanganywa???
 
Ni vizuri kupeana ujuzi kwenye haya mambo,but cha msingi ni Kumshirikisha Mungu pia.Unaweza ukayajua yooote hayo still ukawa traped.Pia utusaidieupande mwingine wa shilingi kujua huyu ndiye.

Ni kweli Charger,tunayajua mengi sana ila unajishangaa umeteleza tena na kurudia kosa lile lile....Mungu tu atusaidie....!!!!!!!
 
Dunia ina changamoto nyingi sana sio kwa wanawake tu bali hata wanaume japo wanaume hawa semi yanayo wakuta hadharani. Nakubaliana na ushauri wako japo unaweza kuwasaidia zaidi wanawake ambao walio na elimu na wenye uwezo wa kusimamia maisha yao bila utegemezi. Sehemu kubwa ya wanawake katika jamii yetu wameathiriwa na mfumo dume ambapo sehemu kubwa ya uchumi unamilikiwa na wanaume. Kutokana na mfumo huo sehemu ndogo ya wanawake wamebahatika kupata elimu nzuri na kumiliki uchumi na hawa kwa kiasi kikubwa wanapatika mijini. Baadhi ya wanaume katika jamii wanatumia matatizo ya kiuchumi na ya kijamii kuwadanganya wanawake kwa kutumia kigezo cha mahusiano na ahadi hewa lakini hawawahitaji kwa malengo yenye manufaa. Elimu ndio ukombozi wa wanawake katika nyanja zote kimapenzi na kiuchumi, hata mataifa yaliyoendelea wanawake wanathaminiwa kwa sababu wanamiliki uchumi na sio tegemezi kwa jamii ya wanaume hivyo anakuwa na nguvu ya kufanya maamuzi anayo yaona yeye ni sahihi katika maisha yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom