Kwa wadada wenzangu: tuwe makini na aina hii ya wanaume.......

Kujuana ni muhimu sana pia kupeana muda wa kuamua mambo kwa pamoja na kuhakikisha kuwa wote malengo yenu yako sawa hata kama basi itatokea kutofautiana kwenye baadhi ya mambo ni vizuri kukaa chini wote pamoja na kuyaongea, sababu kubwa ni kuepusha mmoja kuona ni zaidi ya mwenzake na ana maamuzi makubwa zaidi juu ya mwenzake hapo ndio matatizo huwa yanaanza kujitokeza
 
Pamoja na makorobwezo na mavipodozi yote hayo, anasisitiza mjuane vizuri maana wapo wanaoweza wakatumia same style lakin hawana nia ya kwli

asante CPU....no comment!!!
 
Kama mimi simuelewi kabisa maana bamsapu hizo za kunipa mafoto ya future na kunitambulisha kwa ndugu zake alikuwa ndio mwenyewe, lakini amekuwa mume mzuri tu, sasa sijui hiyo itakuwa inategemea na nini? Hivi Michelle mwanaume bila kukuwekea hayo mavikorombwezo unaweza kuhisi unapendwa kweli? Yaani hakutambulishi popote, haongelei future yenu, du! mi hayo mastori ndio nilikuwa nayapenda jamani.

Sorry wapendwa kwa kumjibia Michelle!!! Mi nimemwelewa hivi, sio tusiwasikilize wala wasiwe na malengo ya mbele hapana!! Ila tuwe waangalifu/makini..... Ni kweli kabisa kuna wanaume wanajua kabisa msichana huyu nikimuingia kwa gia ya kutaka tunda, kustarehe nk nk tu basi hatakubali, anakuja na gia ya kutaka kuoa, anaongelea ndoa, anakujengea picha ya maisha yenu, anakuteka in way kwamba akili yako inaona mnaishi kwenye ndoa kabisa....atakuita mke wangu, mama watoto wangu...ataanza kukuambia mtoto wetu ataitwa Paka Mweusi, yani basi tu ilimradi amefanikiwa kuiteka nafsi yako na akili yako. Mwisho wa yote anakuvuta anakufanyia alichokuwa anakitaka/kilenga anakubwaga hapo. Ule ushetani wake unaanza kuuona sasa hadi utajuta kupenda...wakati huo maisha yako yote umeyafungia kwake.....kwa hiyo hao watu wapo na wapo sana tuuuuuu!!!
 
Funyy thing ni kwamba mtu akitoka
kwenye one abussive relatioship
anaangukia kwenye another....
Ni 90 percent accurate...

Its called opposite atractions....
 
Thank you once again LD....its very clear ni basi tu....Barikiwa zaidi...
 
Asante dada kwa kutoa elimu ya bure nadhani ujumbe umefika.

Sasa swali langu, je WANAWAKE WENYE TABIA ULIZOZITAJA, wakikutana na wanaume wenye tabia hizo hizo mambo yatakuwaje? maana wote watakuwa wajanja.
 
Funyy thing ni kwamba mtu akitoka
kwenye one abussive relatioship
anaangukia kwenye another....
Ni 90 percent accurate...

Its called opposite atractions....

i doubt thats 90% accurate....maybe 50-60%....
 
Asante dada kwa kutoa elimu ya bure nadhani ujumbe umefika.

Sasa swali langu, je WANAWAKE WENYE TABIA ULIZOZITAJA, wakikutana na wanaume wenye tabia hizo hizo mambo yatakuwaje? maana wote watakuwa wajanja.

nahisi wataelewana na kuzungumza wazi na mambo yaweza kuwa mazuri au kila mmoja akachapa lapa kwa kuwa malengo hayatatimia ya kupata atakacho then ale kona.
 
Siwezi mlaumu mtu kwa kuwa nami yamenikuta....ndo maana nikasema experience is the best teacher....i have learnt my lessons and i ought to share my lessons.....

umeadimika Boss.....

somo lako zuri,lakin ndo hvo linainglia upande wa kulia linatokea wa kushoto,olways wanawake watu wa kuingia mtegoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom