kwa wadada wenye wachumba tu

Wabongo sometyme 2nakuwa so rigid kubadilika kimtazamo....i don't why?what ur saying 'simle' is good and real positive idea so u don't need 2 pretend if u real know who ur ar some days 2 come u will be married......behave accordingly 2 ur status....
 
Mafunzo mazuri smile ila wakati tunafanya yote hayo tupate ushirikiano kutoka kwao.
Mi naongezea usiwe dhaifu atakupelekesha.
 
Aiseee. . .kule kwenye Tindikali kunatisha.
Embu kanigee maushauri.

Heheheheheheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee......umeona eeeh? Sasa shauri yako....

Ila Mamaa wa matindikali wamemlima bana aisee....
 
Heheheheheheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee......umeona eeeh? Sasa shauri yako....

Ila Mamaa wa matindikali wamemlima bana aisee....
Hhahahahahahah. . . .

Yani we badala ya kunisaidia ndo kwanza unakazia?Kafanyeje tena?
 
huo ndo mwanzo wa mapenzi ya kuigiza.

Be who you are, show who you are... kama wako wako tu hata ukafanya hayo yote hapo juu kama ndio tabia zako ulizozaliwa nazo au ulikokuzwa nazo.

Asante sana,mafundisho ya tamthilia haya kwa kweli hayafai.
Kama unataka kuachika yafuate,utabaki kuwa kiburudisho ila sio wife to be.

Sijui kwanini nakuwa na wakati mgumu kila napo taka kuamini kwamba Smile ni
mdada,am sure "she is a man with a woman skin (aka.Avatar)".
Mambo yake hayaendani na jinsi yake kabisa,yanaendana na tabia za player boys.
 
Back
Top Bottom