Kwa wadada na kinamama walio wazuri na sifa karibu zote, wabaya hapana watafute Type yao

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
Naombeni mpokee kwa upendo wa dhati kutoka ndani kabisa ya moyo wangu, my ho hot Kiccciiiiii

17702-ose-a8e177af00.jpg
 
wewe ni mpumbavu... Hili ni jukwaa la mapenzi, watu wanaleta mikasa yao ya kimapenzi na mahusiano na urafiki ili kusudi watu wengine waweze kuwasaidia,,wewe unaleta utani, ,, hivi vitoto vidogo vya chuo na form six leaverz ndo vinavyotuharibia forum yetu... Think n grow up son,
 
Hiyo title unamaanisha nini?????????????????????????????????????

We ni mzuri?? Muone kwanza!!!
 
wewe ni mpumbavu... Hili ni jukwaa la mapenzi, watu wanaleta mikasa yao ya kimapenzi na mahusiano na urafiki ili kusudi watu wengine waweze kuwasaidia,,wewe unaleta utani, ,, hivi vitoto vidogo vya chuo na form six leaverz ndo vinavyotuharibia forum yetu... Think n grow up son,

Pole! Nimesema kwa wazuri tu. Wewe hapana, hustaili kic yangu
 
mleta sred ni ile aina ya midume inayowaonea wivu wanawake, hili linaombea kwenda Segerea likachezewe kwa kisingizio cha kulazimishwa

hahahahahahaha,,, asante dada yangu,,,, hakuna kitu kibaya kama mwanaume kudhalilishwa na mwanamke kiasi hiki,,,sipati picha mleta thread ana hali gani huko aliko,,,
 
kaniingia siku mbaya leo nimekaa kiugomviugomvi watu kama hawa hunifanya mood yangu irudi kwenye form,Namshukuru kwani nimepata kichaka cha kujisaidia
 
Hakuna mbaya hapa,MUNGU aliumba watu kwa mfano wake,unamaanisha nini ukisema,wazuri na wabaya?kila mbaya kwa mtu ni mzuri kwa mwingine.kwa taarifa yako wanawake wote ni wazuri.
 
wewe ni mpumbavu... Hili ni jukwaa la mapenzi, watu wanaleta mikasa yao ya kimapenzi na mahusiano na urafiki ili kusudi watu wengine waweze kuwasaidia,,wewe unaleta utani, ,, hivi vitoto vidogo vya chuo na form six leaverz ndo vinavyotuharibia forum yetu... Think n grow up son,

umefanya utafiti au unawafananisha tu na huyu mwehu... be care with your coments kwani na wewe utakua huna tofauti na huyu uliyemwita mpumbavu
 
Back
Top Bottom