Kwa wadada: anakuzushia kutembea nae

Bei Mbaya

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
2,262
843
mwanaume anapokuzushia kutembea na wewe kwa sababu ya uzuri wako,kutoelewana,kutaka kuonekana kijogoo

na jamii ikapotoka kuhusu wewe, ni nini utakachofanya dhidi ya mwanaume huyo?
 
Namfata namwambia nina ujauzito wako, leta hela ya huduma. Si anataka ligi!

kutaka ligi nae ni kama kuongeza ukaribu na yeye

inazidi kuonekana kweli ni mtu wako,ni furaha kwake lengo la kukuchafua kuzidi kudhihirika
 
Hivi nyie wanawake bado tu mnakili zilizopitwa na wakati!

Kwa nini usiende kutafuta pesa za bure hapo, si mfungulie kesi afu unaomba akulipe...kumbuka, that is damage and you can make them pay.
 
what if ni mume wa mtu, ana family

what if he's player, na watu wanajua anamrukia kila mdada,possible na wewe

Kama anafamily atakuwa kaibiwa na kama player sio lazima awe anauwezo wa kuaminika
 
Uko TZ hiyo kitu doesn't exist, defamation cases are not popular here
OK nimekupata, afu sijui nilingia vipi kwenye thread, kwanza kumbe inataka wadada tu wajibu hahaha...mtoa mada we kweli unashangaza sasa hii thread inahusika nini na wanawake tu wajibu, kwanini wanaume tusitoe point zetu.
 
OK nimekupata, afu sijui nilingia vipi kwenye thread, kwanza kumbe inataka wadada tu wajibu hahaha...mtoa mada we kweli unashangaza sasa hii thread inahusika nini na wanawake tu wajibu, kwanini wanaume tusitoe point zetu.

kwa sababu ndio wahanga,wewe utakuja na labda labda
 
Namfata namwambia nina ujauzito wako, leta hela ya huduma. Si anataka ligi!
Khaa! Amyner naomba nletee mimba yangu.

Manake JF nzima inajua mie ni basha ako kwa jinsi navyojitangazia.
 
Khaa! Amyner naomba nletee mimba yangu.

Manake JF nzima inajua mie ni basha ako kwa jinsi navyojitangazia.

LOL..ngoja nimtafute lawyer afungue kesi ya madai "hela ya matumizi mil 2 kwa mwezi". Upo hapo?
 
Na Hiyo ndio Dawa haswa, Kaa kimya na kwa sababu Moyo wa mwanadamu ukikosa huhitaji kuadhibiwa ukikaa kimya ataendelea kutafuta faraja bila kuipata
 
Mnaishi mtaa mmoja,au mnafanya kazi taasisi moja na idara zenu zinaingiliana mara kwa mara
au mpo kozi moja chuoni
kwa kuwa mnakutana mara kadhaa,je utam treat normal?
 
una wapuuza tu na kuwadharau.....

Hata akijitangaza bado huwa si kweli....
Ya nini uhangaike na maneno ya mkosaji....?
Potezea.....
 
Napotezea na life goes on. Maana kuna baadhi ya wanaume wanajua ku*o**ea midomo kweli kweli. Wanaona fahari!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom