Kwa wachaga tu.

Kumbe humu tunajadili seriouse issues na vitoto, ndio maana tunashindwa kuelewana some times,

Karibu kwetu Moshi bandugu! Kule kwetu ukishadinwa (kutahiriwa) unakuwa mtu mzima na unashirikishwa kwenye mambo ya kikubwa na wazee. Tuko makini mzee. Mtoto wa kipindi cha 80's kwa sasa anaweza kuwa na umri wa miaka 40 sasa. Sijui unamaanisha nini kusema unajadili ishu nzito na watoto. Nyerere wakati anapigania uhuru alikuwa na umri gani? By the way, how old are you? Inawezekana namjibu kikongwe mwenye fikra za kina Kawawa. Mwenzio kashang'atuka ujue.

Please usiende off topic, wenzio tuko kwenye mikakati ya kwenda Nazareti December. Na kwa mantiki hii, ni kwa vile kibatani cha zii hakipo, nakutwangia kwa hapa. ZIII!
 
Quote:

Unashindwa kuelewana nani? au nani anekuelewa wewe? kwa hio umri mkubwa ndio uwezo wa kuchambua mambo? kwa umri wako wewe umewahi kuchambua nini?

Si mnaona jamani, kitoto hiki hata adabu hakina, oneni sasa kinaanza kutapika utumbo,

Kama uzee ndio HEKIMA mh! hii ni aibu na fedhea kwa wazee/watu wenye umri mkubwa, unaibisha kwa kifupi hujibu swali/maswali una attack personality. Hufikirii kabla hujabaka keyboard yako.
 
Aisee, hii kitu bado ipo? wazee wa Tarakea mpo?

Hahaha! Tupa bwashee. Kama kawa tunaenda kuchukua mafuta ya taa, petroli na dizeli kwa tukutuku Kenya na kuja kuyauza Tanzania! Ubunifu kama kawaida yetu.
 
Mbona mimi umenitoa kundini? si nimebadili kabila kwa hiari na kuwa mchaga na jina langu ni Manka.Muulize Chrispin
 
Hahaha! Tupa bwashee. Kama kawa tunaenda kuchukua mafuta ya taa, petroli na dizeli kwa tukutuku Kenya na kuja kuyauza Tanzania! Ubunifu kama kawaida yetu.

Yesu tiki lau! Siku hizi hayo hayana dili tena! tumehamia kwenye yale ya dili. yaani tunanunua kwa hawa jamaa wanaoshughulika na ile barabara ya Tarakea-Mkuu. uko wapi wewe aisee?
 
Mbona mimi umenitoa kundini? si nimebadili kabila kwa hiari na kuwa mchaga na jina langu ni Manka.Muulize Chrispin

Hahaha! Waambie utamu wa kiburu mama! Au Kena iliyokolea mtindi uliyoikamatia wakati tulipopata kabinti ketu.
 
Yesu tiki lau! Siku hizi hayo hayana dili tena! tumehamia kwenye yale ya dili. yaani tunanunua kwa hawa jamaa wanaoshughulika na ile barabara ya Tarakea-Mkuu. uko wapi wewe aisee?

Hahaha! Halafu watu wanampakazia Mramba wetu eti ni fisadi! Wivu bana!
 
Hahaha! Halafu watu wanampakazia Mramba wetu eti ni fisadi! Wivu bana!

Jamaa ameomba kugombea tena! Anataka kumalizia kazi yake. kuna mradi mkubwa wa maji kutoka Ziwa challa usambazwe Rombo nzima. umipata hiyo aiseee?
 
Hii picha lazima imetokea mitaa ya rombo ndio wanatabia ya kila mtu kirau chake....au unasemaje mdau mwenye topic
 
jamani mie mbona mnaniacha solemba na hiyo mitori ,kiburu ,kitawa + kisusio

Umeshau na CHONDO ndio maana wake au dada zetu wananguvu watu wanawaogopa wanasema hawajui mapenzi si kweli hawazijui chips
 
Jamaa ameomba kugombea tena! Anataka kumalizia kazi yake. kuna mradi mkubwa wa maji kutoka Ziwa challa usambazwe Rombo nzima. umipata hiyo aiseee?

Ntampa kura yangu! Kili Wota naona wanafanya masihara kule mndenyi eti.
 
Nguli, umenishika pabaya. Umenikumbusha wazee waliokaa (kari) nyuma ya full suit(nyumba ya iliyoezekwa na majani ya mgomba), kina mama wako kwa mbele huku mbege ikigawanya na mzee wa heshima. Anachota kata kubwa anapelekewa mzee mkubwa zaidi kiumri, jamaa anapiga (pafu) la nguvu, mzee baada ya kuipokea anamtafuta aliye na umri mdogo kuliko yeye anamwambia (bencho/ riya) kunywa kidogo, jamaa anapiga pafu kidogo anamrudishia mzee. Daah, mzee anaipokea na kwa ustadi mkubwa anaipuliza kidogo kusogeza(miincho) ulezi pembeni halafu anaipiga kama mara tatu hivi, kwa! kwa! kwa! Zoezi linaendelea hadi watu wakikolea (mbasa) ngoma inaanza...! Kumbuka wakati huo nyimbo za dini kama TUPALIZE SAUTI ZEETU, WOTE TUMTUKUZE LEOO....zinaimbwa kwa sauti kuubwa. ni raha sana. Mimi naaza mapema kabisa kula (ngesi) dawa ya kusafisha tumbo!
 
Ntampa kura yangu! Kili Wota naona wanafanya masihara kule mndenyi eti.

Aisee hata mimi ntapa. kili wota walichemka tangu samani. nimemwambia mashirima akimpa mtu mwingine kura, atarudi kwao mashati. aisee masawe wa user unamjua?
 
umeshau na chondo ndio maana wake au dada zetu wananguvu watu wanawaogopa wanasema hawajui mapenzi si kweli hawazijui chips

hahaha kumbe ma -lavd wanajua kasoro anaweza kukutwanga ukimletea mchezo
 
Back
Top Bottom