Kwa wa-anglican: Archbishop wa canterbury kustaafu december.

mpingauonevu

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
623
430
Baada ya kulitumikia kanisa la Anglikana kama askofu kwa miaka 20 na kama askofu wa dunia kwa miaka kumi Archbishop wa canterbury Dr. Rowan Williams ametangaza kustaafu ifikapo december 2012. Dr. williams ambaye kwa sasa anamiaka 62 ametangaza kujiuzulu ili kupata nafasi na muda wa kusimamia vyema nafasi yake mpya kama MASTER OF MAGDALENE COLLEGE, CAMBRIDGE. Wakati akitangaza kustaafu anaacha kanisa likiwa na changamoto nyingi sana chache ni hizi
1. Kanisa na Ushoga
2. Wanawake kuwa maaskofu
3. Mmeguko wa kanisa
kwa maelezo zaidi nenda www.archbishopofcanterbury.org
 
Hapa ni jukwaa la Siasa! Nafikiri umejichanganya au mambo ya kanisa pia siku hizi yamegeuka siasa?
 
Hapa ni jukwaa la Siasa! Nafikiri umejichanganya au mambo ya kanisa pia siku hizi yamegeuka siasa?
pole kwa usumbufu. modds nadhani watanisaidia kuipeleka inapotakiwa. Lakini kichwa cha habari kinajieleza saa zingine zingatia maelezo na upunguze umbeya kama unaona habari haikuhusu!
 
Back
Top Bottom