michaeljuma1986
Member
- Mar 25, 2012
- 38
- 12
Kufanikiwa kunahitaji bidii napia kunachangamoto yake,hivyo ninawaomba viongozi wote tuelekeze nguvu ktk mikoa ambayo ikonyuma kimawasiliano ilituunganishe nguvu ya uma kwapamoja.mikoa kama dodoma,katavi.tabora,singida,tukimaliza tuingie zanzibar,Nawaombeni viongozi mfanyekazi mkitazamia kulipwa na mungu ili muweze kujipambanua miongoni mwawatanzani kwakuwa sikuzote ukweli hushinda,tukiwaacha wezetu wakiongee mambo ambayo wameshindwa kuyaishi.