Kwa viongozi wa CDM na Wazalendo wenzangu

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
GreatThinkers;

Napenda kutoa Rai kwa viongozi wa CDM na wazalendo wenzangu kuwa hapa tulipofika vijana hatuwezi kurudi nyuma.

Kwanza natoa shukrani za dhati kwa wale waliodiriki kuniamsha na kunifanya nijitambue na nifahamu wajibu na haki zangu za msingi.

Kiongozi yeyote ambaye atarudi nyuma kuunganma na majizi (Chama cha mafisadi) na kudhani kuwa sisi tutaungana nae kama upepo ajue vijana hatuko tayari kuyumbishwa.

Hivyo naomba sana viongozi makini wa CDM msibabaike mnapoona kuna baadhi ya mapandikizi yanachipuka tambueni kuwa wananchi wanaelewa gemu nzima. Mpaka sasa nawapongeza mko imara!

Viongozi tambueni sisi huko chini tuna mikakati makini ya kukiimarisha chama na muda si mrefu tutawapa maoni na ushaui wa nini kifanyike,

Tunaamini 2015 mafisadi wengi sana na wakoloni ngozi nyeusi wataikimbia nchi kwa hofu ya kusyekwa grezani pale ambapo CDM itakapo kamata dola

Peoples.............................Power!!:peace:
 
Shukrani mkuu Spencer kwa ujumbe safi kabisa. We need this kind of motivation to our leaders whenever they do better, ni maneno tu lakini yanaimpact kubwa kwa kila mmoja wetu.

Peoples............... :first: ...........powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!
 
...chama cha siasa hakipaswi kuogopa mapandikizi, haya yapo kila mahali. Hata ktk dini (wengi wanamjua pandikizi Yuda). Muhimu chama kinajipangaje kuabzob chocks.

Ila sikitiko langu ni pale tunapotaka kujenga dhana kwamba chama kaz yake ni kushrik kwny chaguz tu. Siasa si madaraka tu jaman. Dr. Slaa, kijenge chama sasa kichangie au bas kitie chachu kuleta maendeleo ya a common man. 2015 haiji kabla hatujamaliza hii miaka 5! Azawaiz takua km CCM kila wakikutana wanaongea jins ya kushinda uchaguz! Ndo maendleo hyo?
 
Safi sana vijana. Daima nawatakieni kila la heri ktk harakati zenu za kuikataa ccm kwa vitendo.
 
you have spoken my mind!hongera wana CDM, pongezi kwa viongozi

(waswahili wa CUF watabakia kuseme CDM ni NCCR nyigine itakufa kumbe hawaelewi CDM inaviongozi imara wazalendo)
 
Kuna changamoto nyingi ktk cdm cha msingi viongozi wazifanyie kazi kwa umakini na maadili ya kikazi, tunahitaji viongozi wachapa kazi. Tunataka viongozi wazidi kujikita ktk mashina tunahitaji wanachama wengi wenye kadi za cdm
 
GreatThinkers;

Napenda kutoa Rai kwa viongozi wa CDM na wazalendo wenzangu kuwa hapa tulipofika vijana hatuwezi kurudi nyuma.

Kwanza natoa shukrani za dhati kwa wale waliodiriki kuniamsha na kunifanya nijitambue na nifahamu wajibu na haki zangu za msingi.

Kiongozi yeyote ambaye atarudi nyuma kuunganma na majizi (Chama cha mafisadi) na kudhani kuwa sisi tutaungana nae kama upepo ajue vijana hatuko tayari kuyumbishwa.

Hivyo naomba sana viongozi makini wa CDM msibabaike mnapoona kuna baadhi ya mapandikizi yanachipuka tambueni kuwa wananchi wanaelewa gemu nzima. Mpaka sasa nawapongeza mko imara!

Viongozi tambueni sisi huko chini tuna mikakati makini ya kukiimarisha chama na muda si mrefu tutawapa maoni na ushaui wa nini kifanyike,

Tunaamini 2015 mafisadi wengi sana na wakoloni ngozi nyeusi wataikimbia nchi kwa hofu ya kusyekwa grezani pale ambapo CDM itakapo kamata dola

Hapo kwenye red(Shibuda anahusika):A S thumbs_down:
 
Back
Top Bottom