kwa viongozi hawa maendeleo tusahau tanzania

Madcheda

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
422
69
View attachment kawambwa.bmp

nimekutana na hii picha kwenye mtandao ikionyesha waziri wetu wa elimu tena mwenye shahada ya uzamivu katika uhandisi ikiwa anaomba kura. sasa mtu kama unampa wizara nyeti kama ya elimu unategemea kutakua na maendeleo kwel??kama anaweza kufanya hv apate kura lzm tujiulize kwenye huo ubunge kuna nini hasa....

bado tuna safari ndefu watanzania mpk tufike kwenye nchi ya asali na maziwa
 
Madcheda,

Nakumbuka niliwahi kupost thread nikasema ni kwa bahati mbaya sana hatuna viongozi nchi hii ila tuna wanasiasa wazuri. Naendelea kusema hivyo!
 
Madcheda,

Nakumbuka niliwahi kupost thread nikasema ni kwa bahati mbaya sana hatuna viongozi nchi hii ila tuna wanasiasa wazuri. Naendelea kusema hivyo!


kweli kabisa mheshimiwa diwani,yani kama msomi huyu anajigalagaza kwenye vumbi ila apate ubunge/uwaziri unazani akiingia madarakani atafanya nini la maana zaidi ya kuiba tu?mtu kama huyu hana vision kbs ya uongozi
 
ni watu wa hatari-wataingia ikuli kwa gharama yeyote ili mradi wapate watafutacho. nothing new to expect.
 
Back
Top Bottom