Kwa vile ni Mwenyekiti wa CCM, unawajibika kwa hao vijana 46

Lisa (boni)
Inaelekea hujalipwa chochote kwa kutumika kwako. Pole. Malalamiko yako yanafanana sana na malalamiko ya salva wakati wa kikwete. Mwenzio akaupata ukurugenzi wa mawasiliano ikulu. Omba hata kazi ya ufagizi ikulu.
 
Ma CCM mapuuz sana yaan mambo yenu yakijinga kukwamisha mabadiliko ya kweli mnataka pesa ya umma itumike kuwalipa..? Jk hata aibu haoni iii
 
kwa hiyo 'alitereza' kumwambia magufuli awalipe fadhila vijana wa ccm waliomwezesha kushika dola...ilhali akijua yeye ni mwenyenyekiti wa chama!!? alijisahau kabisa kwamba yeye ndio mwenyekiti wa chama...
Jk ni binadamu kama tulivyo mimi na wewe.. Kuwahi kushika wadhifa wa Urais hapa nchini hakumuondolei sifa ya ubinadamu.. Kwahiyo naamini rais mstaafu alijisahau na Alikosea kama binadamu
 
Tena wamechoka kweli kweli walitumika kama mshumaa wakati wa giza baada ya muda wamesahaulika wapo pale Lumumba ni mizinga kwa kwenda mbele CCM ni ile ile .
 
Jk ni binadamu kama tulivyo mimi na wewe.. Kuwahi kushika wadhifa wa Urais hapa nchini hakumuondolei sifa ya ubinadamu.. Kwahiyo naamini rais mstaafu alijisahau na Alikosea kama binadamu

Thats just like, your opinion, man... lol
 
Back
Top Bottom