Kwa vile ni Mwenyekiti wa CCM, unawajibika kwa hao vijana 46

Mkuu, kazi zangu ni biashara ya vifaa vya kielectronic na ujenzi. Nina maduka hapa Songea Mjini ambayo inanipa kipato kikubwa. Nimeajiri vijana wengi wa kazi na weledi kwenye kazi hizo. Ninapopata mwanya najitahidi kutimiza wajibu wangu kama mwanachama
Pole sana Lizaboni yote maisha kaza moyo usikate tamaa ila tambua ccm inawenyewe we jitahidi tu ukuze mtaji wako.Bado kidogo nduguyo Simiyu Yetu naye atakuja kulia humu.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kumeibuka mjadala mzito kwenye mitandao ya kijamii baada ya Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete kumuomba Rais Magufuli kuwafikiria, kuwapongeza na kuwawezesha vijana 46 waliokuwa mitandaoni kukitetea chama. Naamini kuwa Kikwete alikuwa na dhamira njema ya kutambua mchango wa kila mmoja wetu alioutoa wakato wa mapambano ya kutwaa Dola. Naamini pia kuwa chama kilikuwa na mikakati imara ya kuhakikisha kuwa inashinda uchaguzi huo na miongoni mwa mikakati hiyo ni kuwa na vijana wa kushinda kwenye mitandao baada ya kubaini kuwa media zote zimenunuliwa na mafisadi.

Pamoja na hayo, binafsi naamini kuwa vijana hao 46 wapo chini ya chama. Kwa maana nyingine ni kwamba Mwenyekiti wa CCM ndiye anayewajibika kuwapongeza vijana hao na kuweka mikakati ya kuwawezesha ili wajipange upya kwa ajili ya 2020. Hata hivyo, hakika najisikia huzuni kubwa sana kuona Mwenyekiti wangu akitamka maneno hayo hadharani. Mikakati hiyo ilikuwa ya kichama na kitendo cha kutamka hadharani maana yake ni kwamba unadisclose mbinu za ushindi ambazo hazikupaswa kuwafikia maadui.

Nakubaliana na Maneno yako Mwenyekiti wangu kuwa Mwisho wa uchaguzi wa 2015 ni mwanzo wa uchaguzi wa 2020. Pia naamini kuwa mbinu zilizosaidia ushindi wa 2015 hazitatumika uchaguzi wa 2020 kwa vile CCM ina mbinu zaidi ya 200. Hata hivyo, wajibu wa kukitetea chama ni wa kila mwanachama. Inashangaza kuona Mwenyekiti ukiwaona vijana 46 tu ndio wanaostahili kupongezwa ilhali wapo vijana wengi hususan Wasanii ambao waliacha kazi zao na kuzunguka nchi nzima kukitetea chama mpaka wengine wakapachikwa majina mabaya yakiwemo WASALITI, WAPINGA MABADILIKO, WANATUMIKA KAMA CONDOM nk. Hawa umechukua hatua gani ya kuwapongeza?

Kutokana na kauli hiyo ya Kikwete na jinsi mjadala unavyoenda humu JF, hakika ninapata wasiwasi juu ya dhamira ya Januari Makamba. Ni vema tukajua hao vijana 46 aliwapataje? Je aliwaahidi nini? Mchango wao ulikuwaje mpaka Mwenyekiti wa Chama ashinikizwe kumuomba Rais awatambue vijana hao? Je wakati wa kuwaajiri vijana hao mlitangaza uwepo wa nafasi hizo kwenye Media? Kama mlifanya kimya kimya, iweje sasa mambo hayo yawe hadharani? Kuna tatizo gani limejitokeza?

Mambo haya ya kupongezana na kukwezana ndiyo yaliyowaponza Wapinzani. Mathalan, kule CHADEMA, kuna vijana kama akina Yeriko Nyerere, Michael Aweda, Marehemu Mohamed Mtoi, Henry Kilewo, Ben Saanane nk ambao walijifanya watetezi wakubwa wa chama kumbe walikuwa na malengo yao. Matokeo yake, waliojitokea kwa dhati kama akina Nusrat Hanje wamejikuta wakitupwa hata kwenye nafasi za viti maalum. Hizo ndo siasa za upinzani. CCM tunaamini kuwa kujitolea kwa ajili ya chama ni wajibu wa kila mwanachama na si mtu anafanya hivyo ili apate chochote au awe mtu fulani baada ya ushindi. Kama dhamira ya hao vijana ilikuwa wale shavu, hakika hawafai kuwa Makomredi. Watu wa aina hiyo ni rahisi kurubunika kama ilivyotokea kwa akina MUSSA ALLAN, MINYOO, FUNZA, MAMNDENYI, ASSADSYRIA3 na wengineo ambao wa sasa wamegeuka kuwa wapambe wa upinzani baada ya kununuliwa na fisadi Lowasa.

Narudia tena kusema kuwa kama dhamira ya vijana hao ni kutaka wapongezwe na hatimaye wateuliwe kuwa watu fulani au waajiriwe Serikalini, hakika hawafai kuwa wana CCM. Wafia chama tupo na tupo wengi sasa kuliko ilivyokuwa huko nyuma. Tunafanya kazi 24 Hours na hatulipwi ujira wowote. Tunafanya hivyo kwa mapenzi yetu huku tukiamini kuwa ushindi wa CCM ndiyo faraja yetu. Kama ni lazima wapongezwe, basi nakuomba Mwenyekiti wangu timiza wajibu wako kwa vile utaendelea kuwa Menyekiti wa chama chetu hadi 2017
"CCM tunaamini kuwa kujitolea kwa ajili ya chama ni wajibu wa kila mwanachama na si mtu anafanya hivyo ili apate chochote au awe mtu fulani baada ya ushindi"Mkuu nimenyofoa hiyo segment kwa kukunukuu kwani imebeba ujumbe mzito sana unaopaswa kuzingatiwa na kila anayekitakia mema CHAMA DUME CCM.Na sasa naomba nimnukuu baba wa Taifa Mwl Nyerere enzi za uhai wake alipata kusema;"Bila CCM imara nchi yetu itayumba",mwisho wa kunukuu.Tukiimarisha CCM ndio tunaimarisha nchi pia.
 
Ni kweli kabisa, vijana walikuwa wanafanyakazi ya chama, Rais anahusikaje? Awape pesa za Umma au awape nafasi za uongozi? JK hapo kateleza
Hii ni comment ya Kizalendo ...asimpe shinikizo Rais wetu kipezi cha wanyonge Rais John Pombe Magufuli ..tuataka atutumikie Tanzania kwasababu tuachojua hana deni la kulipa
 
Kwa maono yangu ya nyuma ya kivuli, anachokifanya JK ni kufikisha ujumbe kwamba Mkulu JPM aliyekalia kiti, kwamba kumbuka hukushinda kupitia sanduku la kura, bali hawa vijana kuna kitu walikifanya ambacho kimekuweka hapo ulipo. Sasa angalia, usiwabeze wala kuwasahau, siku wakicharuka wataweka mambo hadharani kama noma na iwe noma ohooo!! Na hata kama hawatatajwa kwa majina, ila ipo siku watajulikana tu! Na kama hawatakumbukwa, basi tungojee siku wakikinukisha kitaeleweka!
 
  • Thanks
Reactions: GSL
Wadau, amani iwe kwenu.

Kumeibuka mjadala mzito kwenye mitandao ya kijamii baada ya Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete kumuomba Rais Magufuli kuwafikiria, kuwapongeza na kuwawezesha vijana 46 waliokuwa mitandaoni kukitetea chama. Naamini kuwa Kikwete alikuwa na dhamira njema ya kutambua mchango wa kila mmoja wetu alioutoa wakato wa mapambano ya kutwaa Dola. Naamini pia kuwa chama kilikuwa na mikakati imara ya kuhakikisha kuwa inashinda uchaguzi huo na miongoni mwa mikakati hiyo ni kuwa na vijana wa kushinda kwenye mitandao baada ya kubaini kuwa media zote zimenunuliwa na mafisadi.

Pamoja na hayo, binafsi naamini kuwa vijana hao 46 wapo chini ya chama. Kwa maana nyingine ni kwamba Mwenyekiti wa CCM ndiye anayewajibika kuwapongeza vijana hao na kuweka mikakati ya kuwawezesha ili wajipange upya kwa ajili ya 2020. Hata hivyo, hakika najisikia huzuni kubwa sana kuona Mwenyekiti wangu akitamka maneno hayo hadharani. Mikakati hiyo ilikuwa ya kichama na kitendo cha kutamka hadharani maana yake ni kwamba unadisclose mbinu za ushindi ambazo hazikupaswa kuwafikia maadui.

Nakubaliana na Maneno yako Mwenyekiti wangu kuwa Mwisho wa uchaguzi wa 2015 ni mwanzo wa uchaguzi wa 2020. Pia naamini kuwa mbinu zilizosaidia ushindi wa 2015 hazitatumika uchaguzi wa 2020 kwa vile CCM ina mbinu zaidi ya 200. Hata hivyo, wajibu wa kukitetea chama ni wa kila mwanachama. Inashangaza kuona Mwenyekiti ukiwaona vijana 46 tu ndio wanaostahili kupongezwa ilhali wapo vijana wengi hususan Wasanii ambao waliacha kazi zao na kuzunguka nchi nzima kukitetea chama mpaka wengine wakapachikwa majina mabaya yakiwemo WASALITI, WAPINGA MABADILIKO, WANATUMIKA KAMA CONDOM nk. Hawa umechukua hatua gani ya kuwapongeza?

Kutokana na kauli hiyo ya Kikwete na jinsi mjadala unavyoenda humu JF, hakika ninapata wasiwasi juu ya dhamira ya Januari Makamba. Ni vema tukajua hao vijana 46 aliwapataje? Je aliwaahidi nini? Mchango wao ulikuwaje mpaka Mwenyekiti wa Chama ashinikizwe kumuomba Rais awatambue vijana hao? Je wakati wa kuwaajiri vijana hao mlitangaza uwepo wa nafasi hizo kwenye Media? Kama mlifanya kimya kimya, iweje sasa mambo hayo yawe hadharani? Kuna tatizo gani limejitokeza?

Mambo haya ya kupongezana na kukwezana ndiyo yaliyowaponza Wapinzani. Mathalan, kule CHADEMA, kuna vijana kama akina Yeriko Nyerere, Michael Aweda, Marehemu Mohamed Mtoi, Henry Kilewo, Ben Saanane nk ambao walijifanya watetezi wakubwa wa chama kumbe walikuwa na malengo yao. Matokeo yake, waliojitokea kwa dhati kama akina Nusrat Hanje wamejikuta wakitupwa hata kwenye nafasi za viti maalum. Hizo ndo siasa za upinzani. CCM tunaamini kuwa kujitolea kwa ajili ya chama ni wajibu wa kila mwanachama na si mtu anafanya hivyo ili apate chochote au awe mtu fulani baada ya ushindi. Kama dhamira ya hao vijana ilikuwa wale shavu, hakika hawafai kuwa Makomredi. Watu wa aina hiyo ni rahisi kurubunika kama ilivyotokea kwa akina MUSSA ALLAN, MINYOO, FUNZA, MAMNDENYI, ASSADSYRIA3 na wengineo ambao wa sasa wamegeuka kuwa wapambe wa upinzani baada ya kununuliwa na fisadi Lowasa.

Narudia tena kusema kuwa kama dhamira ya vijana hao ni kutaka wapongezwe na hatimaye wateuliwe kuwa watu fulani au waajiriwe Serikalini, hakika hawafai kuwa wana CCM. Wafia chama tupo na tupo wengi sasa kuliko ilivyokuwa huko nyuma. Tunafanya kazi 24 Hours na hatulipwi ujira wowote. Tunafanya hivyo kwa mapenzi yetu huku tukiamini kuwa ushindi wa CCM ndiyo faraja yetu. Kama ni lazima wapongezwe, basi nakuomba Mwenyekiti wangu timiza wajibu wako kwa vile utaendelea kuwa Menyekiti wa chama chetu hadi 2017
Umesahau pia kuwa kama vile haitoshi kuwaombea malipo ya fadhila hao aliowaita wapigania chama mitandaoni (kama alivyofanya kwa Diallo siku ya kufunga kampeni pale Kirumba Mwanza), vile vile alitoa kama kashinikizo fulani kwa JPM......

Maneno kama...hakuna aliye mkubwa kuliko chama, au 2020 chama ndo kitaenda kuomba ridhaa, sio serikali, etc, etc.

in other words, unaweza kutafsiri kama alikuwa anamshinikiza JPM kufata maelekezo yake, ambayo, yeye kama mwenyekiti, ni maelekezo ya chama...
 
Mkuu naona umemwaga Povu inaonekana umesahaulika kwenye Ufalme wa chama pole...ndio ujue ccm inawenyewe kama January...Riz 1 nk wee unakaa huko Songea huko nani atakujua Ukiletewa Fulana na Kofia inakutosha
Mbaya zaidi, hata Irene Uwoya aliyeshinda nafasi ya viti maalum mkoa wa Tabora kupitia kapu la vijana naye kamwagwa mbaya. Sisiem sina hamu nao kabisa!
 
Hao vijana wa Makamba wanaisoma namba Magufuli sio mtu mzuri kabisa yule baba. Leo hii kina Salim Alhasas yule fidodido mwenye roho mbaya kuliko watu wote duniani wameamua kulima nyanya na wanaume kama mabinti wenzake kina Shwein Makamba mdogo wake January anayejiita Vick Mosha huko twitter. January kakimbia twitter baada ya uchaguzi kawaacha kwenye mataa. Magufuli ni kiboko kwa kweli.
 
..ona sasa JK anavyotaka JPM atumie madarakani yake kufanya kazi za chama kama yeye JK alivyozoea enzi zake.. Watu walitumika kufanya kazi za chama awalipe yeye JK mwenyekiti wao na si rais...JK alizoea kuitumia nafasi yake kukibeba chama chake ndio maana hata vikao vya chama alikua anafanyia ikulu wakati mwingine...
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kumeibuka mjadala mzito kwenye mitandao ya kijamii baada ya Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete kumuomba Rais Magufuli kuwafikiria, kuwapongeza na kuwawezesha vijana 46 waliokuwa mitandaoni kukitetea chama. Naamini kuwa Kikwete alikuwa na dhamira njema ya kutambua mchango wa kila mmoja wetu alioutoa wakato wa mapambano ya kutwaa Dola. Naamini pia kuwa chama kilikuwa na mikakati imara ya kuhakikisha kuwa inashinda uchaguzi huo na miongoni mwa mikakati hiyo ni kuwa na vijana wa kushinda kwenye mitandao baada ya kubaini kuwa media zote zimenunuliwa na mafisadi.

Pamoja na hayo, binafsi naamini kuwa vijana hao 46 wapo chini ya chama. Kwa maana nyingine ni kwamba Mwenyekiti wa CCM ndiye anayewajibika kuwapongeza vijana hao na kuweka mikakati ya kuwawezesha ili wajipange upya kwa ajili ya 2020. Hata hivyo, hakika najisikia huzuni kubwa sana kuona Mwenyekiti wangu akitamka maneno hayo hadharani. Mikakati hiyo ilikuwa ya kichama na kitendo cha kutamka hadharani maana yake ni kwamba unadisclose mbinu za ushindi ambazo hazikupaswa kuwafikia maadui.

Nakubaliana na Maneno yako Mwenyekiti wangu kuwa Mwisho wa uchaguzi wa 2015 ni mwanzo wa uchaguzi wa 2020. Pia naamini kuwa mbinu zilizosaidia ushindi wa 2015 hazitatumika uchaguzi wa 2020 kwa vile CCM ina mbinu zaidi ya 200. Hata hivyo, wajibu wa kukitetea chama ni wa kila mwanachama. Inashangaza kuona Mwenyekiti ukiwaona vijana 46 tu ndio wanaostahili kupongezwa ilhali wapo vijana wengi hususan Wasanii ambao waliacha kazi zao na kuzunguka nchi nzima kukitetea chama mpaka wengine wakapachikwa majina mabaya yakiwemo WASALITI, WAPINGA MABADILIKO, WANATUMIKA KAMA CONDOM nk. Hawa umechukua hatua gani ya kuwapongeza?

Kutokana na kauli hiyo ya Kikwete na jinsi mjadala unavyoenda humu JF, hakika ninapata wasiwasi juu ya dhamira ya Januari Makamba. Ni vema tukajua hao vijana 46 aliwapataje? Je aliwaahidi nini? Mchango wao ulikuwaje mpaka Mwenyekiti wa Chama ashinikizwe kumuomba Rais awatambue vijana hao? Je wakati wa kuwaajiri vijana hao mlitangaza uwepo wa nafasi hizo kwenye Media? Kama mlifanya kimya kimya, iweje sasa mambo hayo yawe hadharani? Kuna tatizo gani limejitokeza?

Mambo haya ya kupongezana na kukwezana ndiyo yaliyowaponza Wapinzani. Mathalan, kule CHADEMA, kuna vijana kama akina Yeriko Nyerere, Michael Aweda, Marehemu Mohamed Mtoi, Henry Kilewo, Ben Saanane nk ambao walijifanya watetezi wakubwa wa chama kumbe walikuwa na malengo yao. Matokeo yake, waliojitokea kwa dhati kama akina Nusrat Hanje wamejikuta wakitupwa hata kwenye nafasi za viti maalum. Hizo ndo siasa za upinzani. CCM tunaamini kuwa kujitolea kwa ajili ya chama ni wajibu wa kila mwanachama na si mtu anafanya hivyo ili apate chochote au awe mtu fulani baada ya ushindi. Kama dhamira ya hao vijana ilikuwa wale shavu, hakika hawafai kuwa Makomredi. Watu wa aina hiyo ni rahisi kurubunika kama ilivyotokea kwa akina MUSSA ALLAN, MINYOO, FUNZA, MAMNDENYI, ASSADSYRIA3 na wengineo ambao wa sasa wamegeuka kuwa wapambe wa upinzani baada ya kununuliwa na fisadi Lowasa.

Narudia tena kusema kuwa kama dhamira ya vijana hao ni kutaka wapongezwe na hatimaye wateuliwe kuwa watu fulani au waajiriwe Serikalini, hakika hawafai kuwa wana CCM. Wafia chama tupo na tupo wengi sasa kuliko ilivyokuwa huko nyuma. Tunafanya kazi 24 Hours na hatulipwi ujira wowote. Tunafanya hivyo kwa mapenzi yetu huku tukiamini kuwa ushindi wa CCM ndiyo faraja yetu. Kama ni lazima wapongezwe, basi nakuomba Mwenyekiti wangu timiza wajibu wako kwa vile utaendelea kuwa Menyekiti wa chama chetu hadi 2017
Kama CCM Ina mbinu zaid ya 200 basi kusingekua na wabunge wala madiwan wa upinzani,wala kusingekua na wenyeviti wa serikal za mitaa wa upinzani,wala umeya wa Ilala na kino usingeenda upinzani
 
Ahsante sana dada Prishaz. Hakika nilijisikia aibu sana wakati Kikwete akiongea yale pale Namfua
Mkuu nakupa hongera sana kwa kuwa mzalendo wa kweli, mimi sio mwana ccm ila namkubali sana Magufuli kiasi kwamba kuna watu wanadhani mimi ni ccm. Hao vijana wa mtandaoni wapo na tunawajua na kwa sasa Magufuli wanamwona mbaya wengi wao wapo zaidi twitter wanajiita TOT bigwigs. Ingekuwa ni ile ccm ya zamani awa wote wangeshapata ata ubalozi tunawajua sana na January kawakimbia maana hana cha kuwasaidia.
 
hahaaaaaaaaaaa,sio amedisclose mbinu za ushindi,sema mmeumbuka nyie buku 7 misukule ya lumumba,watu tulijua tunapambana kwa hoja na fikra huru kumbe kuna timu ziliwekwa humu zikiwa zimeshikiwa akili.Kazi yao ni kutetea chochote cha ccm hata kama ni cha kipuuzi,kwao kujitoa ufahamu sio jambo la ajabu.shame,Kikwete kawaumbua mnakuja na vijinyuzi vyenu kufunika kombe tu.
Hahahaaaaaa umeua mkuuu
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Pamoja na hayo, binafsi naamini kuwa vijana hao 46 wapo chini ya chama. Kwa maana nyingine ni kwamba Mwenyekiti wa CCM ndiye anayewajibika kuwapongeza vijana hao na kuweka mikakati ya kuwawezesha ili wajipange upya kwa ajili ya 2020.

Najisikia huzuni kubwa sana kuona Mwenyekiti wangu akitamka maneno hayo hadharani. Mikakati hiyo ilikuwa ya kichama na kitendo cha kutamka hadharani maana yake ni kwamba unadisclose mbinu za ushindi ambazo hazikupaswa kuwafikia maadui.

Inashangaza kuona Mwenyekiti ukiwaona vijana 46 tu ndio wanaostahili kupongezwa ilhali wapo vijana wengi hususan Wasanii ambao waliacha kazi zao na kuzunguka nchi nzima kukitetea chama mpaka wengine wakapachikwa majina mabaya yakiwemo WASALITI, WAPINGA MABADILIKO, WANATUMIKA KAMA CONDOM nk. Hawa umechukua hatua gani ya kuwapongeza?

Kutokana na kauli hiyo ya Kikwete na jinsi mjadala unavyoenda humu JF, hakika ninapata wasiwasi juu ya dhamira ya Januari Makamba. Ni vema tukajua hao vijana 46 aliwapataje? Je aliwaahidi nini? Mchango wao ulikuwaje mpaka Mwenyekiti wa Chama ashinikizwe kumuomba Rais awatambue vijana hao? Je wakati wa kuwaajiri vijana hao mlitangaza uwepo wa nafasi hizo kwenye Media? Kama mlifanya kimya kimya, iweje sasa mambo hayo yawe hadharani? Kuna tatizo gani limejitokeza?
Umeongea maneno ya hekima. Naongezea kusema kuwa, itakapobainika kuwa hujuma za mitandaono zilifanywa na vijana hao( ikitokea tu kuwa hivyo) mwenyekiti atakiweka chama pabaya sana
Tunajua mitandao ikiwemo JF ilihujumiwa, hautujui na nani. Ipo sheria ya uhalifu wa mitandao, hapa mwenyekiti wa CCM ataeleza nini ikiwa itabainika hivyo?

Pili, kuwakumbuka ana maana wapewe nafasi serikalini.
Hivi watu anapewa nafasi kutokana na uchama au merit zao?

Anachoshauri mwenyekiti ni kutoa zawadi kama za ukuu wa wilaya n.k. Inasikitisha sana !
 
kwa niaba ya Jf nachukua nafasi hii kuwaomba radhi watu wote waliotukanwa na kushambuliwa kwa kuonekana wazushi pale walipotaja waziwazi MALIPO DUNI WALIYOKUWA WANALIPWA HAO VIJANA WA CCM YA TSH ELFU7 KWA WIKI , hadi wakapachikwa jina la aibu la buku 7 fc , na niwapongeze waliofichua siri hiyo , hakika jf ni chanzo cha kuaminika , juzi kikwete amepigilia msumali kwamba humu hatuzushi , Hongera Mzee TupaTupa kwa kuwakumbuka vijana wenu na kuwakutanisha na mwenyekiti ukishirikiana na january , bila hivyo hawa vijana wangekufa njaa .
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kumeibuka mjadala mzito kwenye mitandao ya kijamii baada ya Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete kumuomba Rais Magufuli kuwafikiria, kuwapongeza na kuwawezesha vijana 46 waliokuwa mitandaoni kukitetea chama. Naamini kuwa Kikwete alikuwa na dhamira njema ya kutambua mchango wa kila mmoja wetu alioutoa wakato wa mapambano ya kutwaa Dola. Naamini pia kuwa chama kilikuwa na mikakati imara ya kuhakikisha kuwa inashinda uchaguzi huo na miongoni mwa mikakati hiyo ni kuwa na vijana wa kushinda kwenye mitandao baada ya kubaini kuwa media zote zimenunuliwa na mafisadi.

Pamoja na hayo, binafsi naamini kuwa vijana hao 46 wapo chini ya chama. Kwa maana nyingine ni kwamba Mwenyekiti wa CCM ndiye anayewajibika kuwapongeza vijana hao na kuweka mikakati ya kuwawezesha ili wajipange upya kwa ajili ya 2020. Hata hivyo, hakika najisikia huzuni kubwa sana kuona Mwenyekiti wangu akitamka maneno hayo hadharani. Mikakati hiyo ilikuwa ya kichama na kitendo cha kutamka hadharani maana yake ni kwamba unadisclose mbinu za ushindi ambazo hazikupaswa kuwafikia maadui.

Nakubaliana na Maneno yako Mwenyekiti wangu kuwa Mwisho wa uchaguzi wa 2015 ni mwanzo wa uchaguzi wa 2020. Pia naamini kuwa mbinu zilizosaidia ushindi wa 2015 hazitatumika uchaguzi wa 2020 kwa vile CCM ina mbinu zaidi ya 200. Hata hivyo, wajibu wa kukitetea chama ni wa kila mwanachama. Inashangaza kuona Mwenyekiti ukiwaona vijana 46 tu ndio wanaostahili kupongezwa ilhali wapo vijana wengi hususan Wasanii ambao waliacha kazi zao na kuzunguka nchi nzima kukitetea chama mpaka wengine wakapachikwa majina mabaya yakiwemo WASALITI, WAPINGA MABADILIKO, WANATUMIKA KAMA CONDOM nk. Hawa umechukua hatua gani ya kuwapongeza?

Kutokana na kauli hiyo ya Kikwete na jinsi mjadala unavyoenda humu JF, hakika ninapata wasiwasi juu ya dhamira ya Januari Makamba. Ni vema tukajua hao vijana 46 aliwapataje? Je aliwaahidi nini? Mchango wao ulikuwaje mpaka Mwenyekiti wa Chama ashinikizwe kumuomba Rais awatambue vijana hao? Je wakati wa kuwaajiri vijana hao mlitangaza uwepo wa nafasi hizo kwenye Media? Kama mlifanya kimya kimya, iweje sasa mambo hayo yawe hadharani? Kuna tatizo gani limejitokeza?

Mambo haya ya kupongezana na kukwezana ndiyo yaliyowaponza Wapinzani. Mathalan, kule CHADEMA, kuna vijana kama akina Yeriko Nyerere, Michael Aweda, Marehemu Mohamed Mtoi, Henry Kilewo, Ben Saanane nk ambao walijifanya watetezi wakubwa wa chama kumbe walikuwa na malengo yao. Matokeo yake, waliojitokea kwa dhati kama akina Nusrat Hanje wamejikuta wakitupwa hata kwenye nafasi za viti maalum. Hizo ndo siasa za upinzani. CCM tunaamini kuwa kujitolea kwa ajili ya chama ni wajibu wa kila mwanachama na si mtu anafanya hivyo ili apate chochote au awe mtu fulani baada ya ushindi. Kama dhamira ya hao vijana ilikuwa wale shavu, hakika hawafai kuwa Makomredi. Watu wa aina hiyo ni rahisi kurubunika kama ilivyotokea kwa akina MUSSA ALLAN, MINYOO, FUNZA, MAMNDENYI, ASSADSYRIA3 na wengineo ambao wa sasa wamegeuka kuwa wapambe wa upinzani baada ya kununuliwa na fisadi Lowasa.

Narudia tena kusema kuwa kama dhamira ya vijana hao ni kutaka wapongezwe na hatimaye wateuliwe kuwa watu fulani au waajiriwe Serikalini, hakika hawafai kuwa wana CCM. Wafia chama tupo na tupo wengi sasa kuliko ilivyokuwa huko nyuma. Tunafanya kazi 24 Hours na hatulipwi ujira wowote. Tunafanya hivyo kwa mapenzi yetu huku tukiamini kuwa ushindi wa CCM ndiyo faraja yetu. Kama ni lazima wapongezwe, basi nakuomba Mwenyekiti wangu timiza wajibu wako kwa vile utaendelea kuwa Menyekiti wa chama chetu hadi 2017
Naona unajipigia Debe, umeona Magufuli hasomeki sasa unataka ulipwe na Kikwete. Wewe jifanye kama ulijitolea tu kaka, sio lazima mlipwe
 
Back
Top Bottom