Kwa vijana under 30

Thanx @AshaD, tru inspirational story u hav there.
I dig ur signature... Happy holidays as well...
 
take your time and enjoy life
kabla majukumu hayajawafunika
enjoy to the fullest
kama ni wa mziki dance mifupa yako ikiwa na nguvu
fanya adventure zote kwa usalama lakini

nimekaa hapa nikakumbuka ya miaka hiyo
wakati mifupa ina nguvu
enzi tukijilisha upepo
wakati tunadansi na kudansi
duh early 90's, i wish nirudishe saa ya dunia nyuma
Mifupa yako ilikuwa ina nguvu kiasi cha kucheza namna hii.....

FERRE GOLA 3 AU ZENITH DE PARIS LIVE / DJ OMEGA BP MEGADANCESONO - YouTube
 
take your time and enjoy life
kabla majukumu hayajawafunika
enjoy to the fullest
kama ni wa mziki dance mifupa yako ikiwa na nguvu
fanya adventure zote kwa usalama lakini

nimekaa hapa nikakumbuka ya miaka hiyo
wakati mifupa ina nguvu
enzi tukijilisha upepo
wakati tunadansi na kudansi
duh early 90's, i wish nirudishe saa ya dunia nyuma

halafu iweje? Huo umri ndio wakujipanga vizuri kwa ajili ya maisha ya baadae. Use resource properly include time.
 
Kwa kweli mi siwashauri hivo Kama upo Under 30 this is what u shud do Soma kwa bidii, get a good paying job in private sector or Regulatory authority spend your money Wisely; Nunua mashamba na viwanja mdogo wangu. Usinunue gari but make sure by the time u reach 30 una heka kama 10 au 20 kokote kule ili mradi iwe ni Tanzania. Ukifika 30 utaoa na kuanza ujenzi ukiwa na mkeo/mumeo. Ukikosa hela ya kujenga unakata shamba unauza 100x the price uliyonunulia.
 
Sio kwamba huo ni umri wa kutengeneza maisha ili uje ule bata kivulini?
 
Back
Top Bottom