Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,353
- 92,640
.........Sijakuelewa bado!!Mimi ntaanza kujirusha nikifikisha 35. . .i'm too young to risk breaking a hip.
.........Sijakuelewa bado!!Mimi ntaanza kujirusha nikifikisha 35. . .i'm too young to risk breaking a hip.
.........Sijakuelewa bado!!
Sijakuelewa kwa sababu mimi nipo kwenye hiyo age, sasa ukiniambia ndio unataka kuanza kujiachia sikuelewi labda uniambie usichana wako ukiwa mbichi ulikuwa unajenga familia kwanza na kulea watoto sasa ukifikisha 35 utakuwa huna majukumu ya kulea watoto wadogo na umeshamaliza kuzaa, na sasa ndio muda wa kujiachia nitakuelewa, lakini for me, starehe zinajipunguza zenyewe automatical bila kulazimishwa na mtu.Hujaelewa wapi Mat?
Kwamba sitojiachia mpaka nifikishe 35???
Kwasababu nikijiachia sana naweza teguka hip wakati bado mdogo?
Paragragh ya kwanza inahusika sana.Sijakuelewa kwa sababu mimi nipo kwenye hiyo age, sasa ukiniambia ndio unataka kuanza kujiachia sikuelewi labda uniambie usichana wako ukiwa mbichi ulikuwa unajenga familia kwanza na kulea watoto sasa ukifikisha 35 utakuwa huna majukumu ya kulea watoto wadogo na umeshamaliza kuzaa, na sasa ndio muda wa kujiachia nitakuelewa, lakini for me, starehe zinajipunguza zenyewe automatical bila kulazimishwa na mtu.
Kumbuka wewe ni mwanamke na mimi ni mwanaume, majukumu yetu kwenye ustawi wa familia ni tofauti kabisa kama peponi na jehanamu.
watakuwa wamepata huo uwezo kwa hiyo miaka 35?Paragragh ya kwanza inahusika sana.
Shule ntakua nimemaliza, watoto karibu ntawatimua wakaanze kujitegemea, kama ni kazi na biashara faida ziloshaanza kuonekana and so on.
Hapo tunaweza kwenda sawa, nadhani utakuwa ulitumia advantage ya kuraise familia mapema, kitu ambacho kinatucost sisi wengine mambo ya kuchelewa kuraise familia mapema matokeo yake tupo over 35 lakini mtoto bado yuko Primary!!Paragragh ya kwanza inahusika sana.
Shule ntakua nimemaliza, watoto karibu ntawatimua wakaanze kujitegemea, kama ni kazi na biashara faida ziloshaanza kuonekana and so on.
Yeahh kuwahi kuna raha yake kwakweli.Hapo tunaweza kwenda sawa, nadhani utakuwa ulitumia advantage ya kuraise familia mapema, kitu ambacho kinatucost sisi wengine mambo ya kuchelewa kuraise familia mapema matokeo yake tupo over 35 lakini mtoto bado yuko Primary!!
Kazi kweli kweli, lakini najuwa ukiwa kama mtoto wa kike unapata backup ya Mr wako so u have to party no more living hard babe q everyday. every
Bado nipo nipo imeponza wengi sana, wengi hawafocus 20 years to come, kwa kweli ukiwa na 40 halafu mtoto ana 20, nadhani hapa unakwenda kuhudhuria Gradu yake skichukuwa degree yake kila mtu ni lazima avutiwe na ninyi.Yeahh kuwahi kuna raha yake kwakweli.
Ukifikisha 40 mtoto ana 20 anaondoka zake nyumbani mzazi unaanza kujijali mwenyewe sasa. No more kupigiana kelele za kafagie chumba, katandike kitanda.
Plus, mama/baba hawafananishi na grandparents. . lolzz.Badala yake unaulizwa kama ni kaka au dada yake.
Hahahahha, tatizo sio utandawazi bwana.Tatizo ni sisi wenyewe kwa kukubali kuongozwa na vitu ambavyo mwisho wa siku sivyo vitakavyoimarisha ndoa, vitu ambavyo vinaweza kutuondolea amani kabisa.Kwa ufupi ni kwamba TUMEPOTOKA.Bado nipo nipo imeponza wengi sana, wengi hawafocus 20 years to come, kwa kweli ukiwa na 40 halafu mtoto ana 20, nadhani hapa unakwenda kuhudhuria Gradu yake skichukuwa degree yake kila mtu ni lazima avutiwe na ninyi.
But i will tell u something, Baba zetu waliweza kuoa wakiwa wadogo kwa sababu wakati ule ndoa haikuwa complication mpaka kufanyiwa commercial advatisement kwamba uwe na viza card. utawandawazi umeharibu kila kitu Africa.
Kwenye RED ndio tatizo lenyewe, sijui hili tutalisolve vipi!! maana naona kuna kasi ya ajabu ya watu kuzaa tu na kila mtu kuishi kivyake, i don't understand ni drama gani inaendelea hapa Bongo.Hahahahha, tatizo sio utandawazi bwana.Tatizo ni sisi wenyewe kwa kukubali kuongozwa na vitu ambavyo mwisho wa siku sivyo vitakavyoimarisha ndoa, vitu ambavyo vinaweza kutuondolea amani kabisa.Kwa ufupi ni kwamba TUMEPOTOKA.
Tuamke, tuache kusomba somba tu mambo.Kwenye RED ndio tatizo lenyewe, sijui hili tutalisolve vipi!! maana naona kuna kasi ya ajabu ya watu kuzaa tu na kila mtu kuishi kivyake, i don't understand ni drama gani inaendelea hapa Bongo.
Naona huu mtindo unaenea kwa kasi sana, na ukiangalia hakuna sababu ya msingi, maana kama ni wale wa kusema kwamba wanatesti kizazi huwa wanafunga ndoa huku mama akiwa mjamzito, lakini hawa wengine dini moja na hakuna complication zozote huwa nashindwa kuelewa what goes, am talking through my experience.Tuamke, tuache kusomba somba tu mambo.
Mhh hapo kwenye kasi ya kuzaa na kuishi kivyake sijapasoma vizuri?
Heheheheh, kwahiyo unaona kuna ubaya watu kuzaa bila ndoa?Naona huu mtindo unaenea kwa kasi sana, na ukiangalia hakuna sababu ya msingi, maana kama ni wale wa kusema kwamba wanatesti kizazi huwa wanafunga ndoa huku mama akiwa mjamzito, lakini hawa wengine dini moja na hakuna complication zozote huwa nashindwa kuelewa what goes, am talking through my experience.
sispendi watu kufanyana Production mashine, hakuna ubaya kuzaa kabla ya ndoa ila inapendeza zaidi mkija kuowana, nimeshaona matatizo ya kuchanya wazazi ni tabu tupu.Heheheheh, kwahiyo unaona kuna ubaya watu kuzaa bila ndoa?
sispendi watu kufanyana Production mashine, hakuna ubaya kuzaa kabla ya ndoa ila inapendeza zaidi mkija kuowana, nimeshaona matatizo ya kuchanya wazazi ni tabu tupu.
Kwani tulisema hatuendelei?hiii niiii nanihiiiiiii
aaaaaah
mshazima mie..
Endeleeeeeni,
duh!